Kinga ya Ebola!!!!

Kweli haka kagonjwa ni kiboko maana Tiba yake nimeipenda sana
hivi vigonjwa vya kutoka Afrika vitawachanganya walimwengu
na wala sio eti Wamerekani wamechanganya Virus kuja kutumaliza
ni uchafu wetu wa kushiriki na wanyama na kula nyama zao

 

Kwanini unaamini hivyo au kwa sababu kasema mtu mweupe?
 
Tujirekibishi na usafi na tusiwe na taama leo utasikia dume kampanda kuku tena utasikia kampanda mbuzi mara sokwe na midume kwa me dume na nyama za uvundo na mambo mengi tuna yatenda bila kutafakari
 
Nadharia ya huyu dokta Katunki haina msingi wowote wa kisayansi.Amegeuka
kuwa kichekesho dunia nzima!
 
Kuna nyama zinaletwa mjini wanasema nyama pori na zinauzwa ghali kweli...nyama pori watu wanakula wasijue ni mnyama gani...hayo ndo yanatuletea magonjwa ya ajabu...kama ebola
 
Kuna nyama zinaletwa mjini wanasema nyama pori na zinauzwa ghali kweli...nyama pori watu wanakula wasijue ni mnyama gani...hayo ndo yanatuletea magonjwa ya ajabu...kama ebola

Breakpoint kijitonyama wanaongoza kwa kuuza nyamapori...!!! Ila tamuje..!!!?
 
Huko majuu siku hizi watoto wanashindwa kutofautisha kati ya ugonjwa wa ebola na uafrika, yaani wanafikiri kila mtu mwenye ngozi nyeusi ni mgonjwa wa ebola na wanadhani weusi huu umesababishwa na maradhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…