Kinga ni bora kuliko Tiba

Kinga ni bora kuliko Tiba

sintalikwetu

Senior Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
130
Reaction score
32
Labda angesema sasa hospitali zimetosha maana zimeenea, na mpango wake ni kuweka wauguzi kushauri watu wasiambukizwe zaidi. Sasa kusipokuwapo hosp watu watatibiwaje au magonjwa nayo anayafuta. Huyu ni kichaa tumemjua zamani yeye shida yake ni ikulu.

Tunampa urais Magufuli sio huyu mfano wa raisi. Na ni bora ukawa kwa sasa wanamwita rais maana hakuna muda mwingine katika maisha yake atakuja kuitwa rais. Kura yangu ni kwa Magufuli .
 
Magufuli mpe mkeo
 
Back
Top Bottom