Wakuu na waataalamu wa JF naomben msaada wenu kwani mi nna umri wa miaka 22 ila tayari dalili za kuwa na kipara zishajionesha na siipendi hali hii nifanye nin niweze kuepuka na janga hili linaloonisabashia navaa kofia maasa 24.
Wakuu na waataalamu wa Jf naomben msaada wenu kwan mi nna umri wa miaka 22 ila tayar dalili za kuwa na kipara zishajionesha na siipend hali hii nifanye nin niweze kuepuka na janga hili linaloonisabashia navaa kofia maasa 24
Usikosoe uumbaji wa Mungu,,unahisi kuna madhara gani ukiwa na kipara kwa umri mdogo? Nijuavyo mimi kipara na symbol mojawapo ya dalili za kuwa na mpunga,,sasa unakataa hiyo heshima??
Aisee jitahid upate pesa nyingi sana coz kipara kwa mtu mackini ni km kichekesho atleast ukiwa na visenti kidogo vitakusaidia kufanya watu wachukulie poa na utakua na confidence.
So it is an opportunity
Wakuu na waataalamu wa JF naomben msaada wenu kwani mi nna umri wa miaka 22 ila tayari dalili za kuwa na kipara zishajionesha na siipendi hali hii nifanye nin niweze kuepuka na janga hili linaloonisabashia navaa kofia maasa 24.
Wakuu na waataalamu wa JF naomben msaada wenu kwani mi nna umri wa miaka 22 ila tayari dalili za kuwa na kipara zishajionesha na siipendi hali hii nifanye nin niweze kuepuka na janga hili linaloonisabashia navaa kofia maasa 24.
Mkuu kama ni dalili basi waweza kukikomesha kwa kutafuna Kitunguu Saumu kila siku asubuhi na jioni. Hata kama siyo asubuhi na jioni lakini hakikisha kwa siku hukosi.
Na usipendelee kuvaa kofia inakiongezea kasi.
Mie nina mfano hai kabisa kuna jamaa yangu kilianza hivyo akashauriwa na ikawa tabia yake kutumia sasa ana nywele kibao hata dalili ya kuwa na kipara haipo.