King of Condolences (Peter Msechu)

King of Condolences (Peter Msechu)

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Kwa hakika hakuna msanii ambaye amepata kuwa makini kwenye kazi yake kuliko Peter Msechu. Big up sana Kaka, umeshatoa wimbo wa pole kwa Marehemu Mhandisi Gissima.
images - 2025-04-14T112433.633.jpeg


Umetisha sana, kwako wewe unasubiria msiba tu ndo tupate kusikia sauti yako ya maombolezo Tanzania. Kwenye maafa ya Hanang haukupoza damu ukatifariju mapema sana. Kwa hakika umejitafuta umejipata.
 
Nyamohanga naye alikuwa anawahi nini kusafiri bila kupumzika? Watu wajifunze kuwa ajali karibu zote zinaepukika maana zoote hutokea zikiwa na sababu
 
Kama kamuimba huyo boss tu na dreva wake hajamuimba huo utakuwa ni unyanyapaa kama unyanyapaa mwengine tu!
 
Kama kamuimba huyo boss tu na dreva wake hajamuimba huo utakuwa ni unyanyapaa kama unyanyapaa mwengine tu!
tangazo la tanesco nalo lilikaa kisanii sikumuona dereva wao
 
Huyu mpumbavu Nyamhanga siye ndiye kuna mada inazunguka humu jukwaani gari iliyomuua ni moja wapo wa ganji alizopewa na wachina ili apitishe zabuni mbalimbali za tanesco kwa kampuni yao.

Then anapokufa mtu kama huyo sisi kama taifa tunasikitika nini huo msiba waachwe wasikitike aliokuwa anawalisha wasitushirikishe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom