King of boxer muhammad ali na watoto zake wawili kumbukumbu hiyoooo

Watoto zake hao? Hivi watoto wake si ni mabinti au? huyo umesema ni michael Jackson kwani KING OF THE POP ni mtoto wa Muhammad Ally?
 
huyo jamaa c muslim,mbna watoto christian
mKUU philip dominick Unashangaa Muhammad Ali kuwa na watoto wenye majina ya Kikristo? hushangai Baba wa Taifa Mwalim Nyerer watoto wake ni sisi Waislam na Wakristo? Kashangae baharini Shilingi inazama lakini Meli inaelea baharini mkuu amka wewe. Kuitwa Bab ni heshima sio watoto wake Orignal.
 
Last edited by a moderator:
huyo jamaa c muslim,mbna watoto christian
mKUU philip dominick Unashangaa Muhammad Ali kuwa na watoto wenye majina ya Kikristo? hushangai Baba wa Taifa Mwalim Nyerere watoto wake ni sisi Waislam na Wakristo? Kashangae baharini Shilingi inazama lakini Meli inaelea baharini mkuu amka wewe. Kuitwa Baba ni heshima sio watoto wake Orignal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…