King of boxer muhammad ali na watoto zake wawili kumbukumbu hiyoooo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,266
33,039
935799_10151479105717817_218647353_n.jpg


Muhammad Ali with Michael and Marlon Jackson
 
Watoto zake hao? Hivi watoto wake si ni mabinti au? huyo umesema ni michael Jackson kwani KING OF THE POP ni mtoto wa Muhammad Ally?
 
huyo jamaa c muslim,mbna watoto christian
mKUU philip dominick Unashangaa Muhammad Ali kuwa na watoto wenye majina ya Kikristo? hushangai Baba wa Taifa Mwalim Nyerer watoto wake ni sisi Waislam na Wakristo? Kashangae baharini Shilingi inazama lakini Meli inaelea baharini mkuu amka wewe. Kuitwa Bab ni heshima sio watoto wake Orignal.
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom