King Kong: Wanakubali kiaina

Jamaa namkubali mpaka leo hasa interview zake na majibu yake😂😂😂
Jamaa legendary sana, na anajielewa sana. Wadau wanaendaga kumfanyia interview na maswali ya kipuuzi fulani, lakini jamaa anawajibu kwa majibu ya kipuuzi lakini ya kufikirisha sana.
Jamaa hata kama alipotea na madawa, lakini namwona bado ana akili mingi sana.
 
yah jamaa anajua kujibu maswali maana uwa wanamuuliza maswali ya kidwanzi anawajibu kiakili
 
Kuna ngoma moja aliifanya nadhani mwaka 2009 au 2010 kwa pfunk nadhani inaitwa jiachie...ni ngoma naikubali mno nimeitafuta platform nyingi siipati..msaada mwenye nayo
Dah ina beat moja matata
Jiachie rusha mikono juu dance unavyoweza
Muda bado unaruhusu ....

Mimi ngoma yake ambayo naipenda ni usinipe lawama ft matonya ilitengenezwa studio ya jay d na gadner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…