Huyu mzee wakati huo sijui alikuwa anawaza nini wakati anatunga huu wimbo . Kweli muziki ni fasihi ya wakati. Ukiangalia kwa nyakati za sasa ni kama vile kuna mtu(kiongozi) anaona matatizo ya Watz lakini kutokana na sababu fulani hawezi kujitokeza kutatua matatizo hayo. Na inaonyesha anao uwezo wa kuyatatua na wananchi wanaamini anao uwezo wa kuyatatua. Hebu ngoja niuandike kidogo (japo sikumbuki vizuri)
Malalamiko ya kwenu nayasikia kweli naumia
Mimi sitamani nitajaribu kuyasuluhisha
OOh kazeni moyo na nasubiri kilio chenu nakipata ooooh.................
Haya keba keba................eeeh
Please anayeujua vizuri aundike kwa usahihi...................