King Kiba amjibu Icon wa Taifa Diamond Platinumz

Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
Una akili kwa hiki ulichoandika? Hivi umri ndio pesa ,utakuwa unaugua matende si bure.
 
Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
kwani wewe na Rashford nani ni mkubwa na nani ana hela kumzidi mwenzake?
 
Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
Kumbe 1986 na 1989 tofauti yake ni miaka mitano?!

Siku nyingine ongea kitu unachokijua.
 
Back
Top Bottom