King Kiba amjibu Icon wa Taifa Diamond Platinumz

Bishoo na michale mgongoni wapi na wapi mwanga mkubwa mipepo hiko ndani ya mwili wake kabisa.... Bora kiba kwenye pete akichoka anaitupa
 

Attachments

  • DIAMONDY+22.jpg
    DIAMONDY+22.jpg
    19.8 KB · Views: 61
Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
Domo angekuwa na hela angekuwa anamsaidia pia baba yake mzazi.
 
Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa

Inashangaza kweli Mtu una-like nini hapa?!!

Wingi wa miaka ndio wingi wa pesa!!
 
Jamani mimi si mahabiki wa Mond aka domo au huyo kiba. Ila nashindwa kumshangaa kiba akitaka kujilinganisha na domo. Kuna watu wa ajabu sana. Humu jukwaani kuna mpaka special thread za hawa jamaa. Mimi nachojua kiba atasubiri sana kwa domo.
 
Kuna evidence yoyote ya ushindani kati ya kiba na mondi? Au ni mahaba ya mashabiki tu
 
Back
Top Bottom