Kindle fire, msaada kwenye tuta!

JAPUONY

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
383
Reaction score
186
Mimi ni Mtanzania, naombeni kuuliza kama kuna mtu anafahamu kama Kindle Fire zinazouzwa na Amazon zinaweza kufanya kazi Tanzania bila matatizo. Kama matatizo yapo ni yapi, je yanaweza kutatuliwa, kivipi?ninampango wa kuja TZ na kindle fire yangu sasa nisije beba kitu ambacho nyumbani hakifanyi kazi. Naombeni ushauri wataalamu.

Thanks.
 
Zinafanya kazi, maana kuna jamaa yangu amekuja huko kwa ajili ya research na anaitumia bila matatizo. Kabla ya hapo alikuja na Kindle Touch 3G nayo ilifanya kazi zote bila shida. Mimi pia natarajia kuja nayo.
 

mkuu, nichukulie moja, hela nakupa kesh ukifka nayo.......
 
Ngoja ni google nijue hiki nini huku bandari salama tumezoea kusikia Ipad na akina Samsung tablets
 
Zinatumia mtandao WiFi connection kama utaweza kuunganisha mtandao sidhani kama utapata shida. Kama mwana jamvi alivyochangia, unaweza usiwezekupata 'Cloud Server" . Kwa kuwa ununuaji wa miziki,vitabu n.k v inatumia account yako ambayo inajitambulisha kwa e-mail address yako na billing details pia jaribu ku-access kwenye eneo lenye secure WiFi - Kuna kila sababu kwamba utafanikiwai. Good Luck!
 

Hawaangalie email tu, wanaangalia IP address yako, ukiwa nje ya marekani hauwezi kushusha digital content yoyote kutoka Amazon.
 
Hawaangalie email tu, wanaangalia IP address yako, ukiwa nje ya marekani hauwezi kushusha digital content yoyote kutoka Amazon.

Are you sure that is the stand of Amazon?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…