Kinauzwa kipo sinza mugabe

KIDESELA

Senior Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
149
Reaction score
92
Kama kinavyoonekana hapo kitanda kinauzwa kipo sinza mugabe, mcheki muhusika kwa namba hiyo,bei yake Laki 3 na elfu 70 maongezi yapo

+255 679 214 045

 
.....duh,we shunie umesanda makelele ya walokole umeamua ujilipue liwalo na liwe?
....kwahiyo utalalia mkeka?
 
Kikiwepo hadi next week nakuja kukichukua kwa 300K kama upo tayari

Size gani?
 
Kimeishatoa watoto wangapi,maana nisije kununau kikawa hakua uzazi kumbe watoto wote wameisha,nimependa ulivyo mechisha mito,aisee unatisha"Joke Mkuu"

Hicho ni 5 x 6,au sio?
 
Ebu kuwa muwazi, hicho kitanda ni size gani? Unauza pamoja na hivyo vyote vinavyoonekana kwenye picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…