Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,345 Feb 3, 2012 Thread starter #21 Suby Mushi. said: mungu anajua! Click to expand... hivi jamani mbona wabogo mnashangaza ivo? Yaani Mungu aache kufanya shughuli zake za msingi, ahangaike kujua kinanda kina nini ndani yake? Embu mwacheni Mungu afanye mambo yake jamani. Tuendelee na kinanda's magic...
Suby Mushi. said: mungu anajua! Click to expand... hivi jamani mbona wabogo mnashangaza ivo? Yaani Mungu aache kufanya shughuli zake za msingi, ahangaike kujua kinanda kina nini ndani yake? Embu mwacheni Mungu afanye mambo yake jamani. Tuendelee na kinanda's magic...