Kinana using'atuke kabla ya kujibu haya

Kinana using'atuke kabla ya kujibu haya

Wapi nimeongelea upinzani?
CCM ipo madarakani kwa sababu ya uoga na unafiki uliotukuka.
Huyo Kinana leo hii ukimuuliza atakanusha na ataanza kuisifia serikali ya CCM kana kwamba imeshafanya mabadiliko aliyokuwa anayapigia chapuo.
Ndio maana hatupigi hatua kwa unafiki wao. HAYA SIO MANENO YAKO? WATU HATUCHAGUI CCM SABABU YA UOGA NA UNAFIKI BALI HAKUNA CHAMA MBADALA CHA KUAMINIKA KIASI CHA KUPEWA DOLA.
 
Wapi nimeongelea upinzani?
QUOTE="Gangongine, post: 16908459, member: 346691"]CCM ipo madarakani kwa sababu ya uoga na unafiki uliotukuka.
Huyo Kinana leo hii ukimuuliza atakanusha na ataanza kuisifia serikali ya CCM kana kwamba imeshafanya mabadiliko aliyokuwa anayapigia chapuo.
Ndio maana hatupigi hatua kwa unafiki wao. HAYA SIO MANENO YAKO? WATU HATUCHAGUI CCM SABABU YA UOGA NA UNAFIKI BALI HAKUNA CHAMA MBADALA CHA KUAMINIKA KIASI CHA KUPEWA DOLA. HAKUNA MABADILIKO AMBAYO YANGELETWA NA UKAWA ZAIDI YA KUBADILISHA WATU MAOFISINI TU. MABADILIKO YA KWELI YATALETWA NA CCM YENYEWE KWA KUWA INA UZOEFU NA INAJUA MAPUNGUFU YAKE
 
Back
Top Bottom