DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Wanabodi.
Tarehe 13 jumapili kura zinachukua nafasi hapa Arusha huku mgombea wa ccm Philemon Mollel akiachwa pekee hata kampeni hajafanya kisawasawa.
Arusha Mjini hatujamuona katibu mkuu wa chama Kinana wala Magufuli wala kikwete hata Nape.
Hesabu za haraka haraka hazisomi kwa mgombea wa ccm kwani wapiga kura wengi hawakuona juhudi zake.
Kinana na Nape mbona mmemtelekeza mgombea wenu kwa kutokuonekana wala kutuma rasilimali fedha?