Kinana na watetezi wako mnaishi wapi?

Kinana na watetezi wako mnaishi wapi?

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Posts
1,017
Reaction score
258
Kama Nchimbi, Sendeka na Shelukindomnaishi Tanzania mtakuwa mnajua jinsi majina ya viongozi wa ccm yanavyo tumikakupindisha sheria za nchi :

1) Mfanyakazi wandani (house girl) amewahi kuajiliwa hospitali ya Dodoma bila kufanyiwa usaliKisa alitumia jina la bosi wake aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar e salaam – marehemuDitopile

2) Bwana RobertKisena amewahi kumtwanga mtama OCD kituoni akiwakazini – hakuna hatuaaliyochukuliwa kisa alikuwa mgombea wa CCM.

3) Kuna vijana wengiwanaotumia majina ya viongozi akiwemu Rais kutapeli wananchi, mfano kijanaaliyetaka kumtapeli Lowassa Iringa kwa kutumia jina la Lukuvi.

Ni vigumu sana kuamini kuwa kampuni na Jina la Kinana halikutumikakuwafumba macho maafisa wa forodha kuvusha pembe za ndovu na kuziita plastic

Nchimbi ulipaswa kuagiza vyombo vya dola kupata ukweli ni namna ganiJina la Kinana na kampuni yake vilitumika kuvusha nyara za Taifa hadi zikakamatwe China, iwekwa ridhaa yake au laa! Kinyume cha hilo unaonekana unajua ukweli zaidi ya huona unauficha kwa kiushia kuwatutajia watuhumiwa saba.
 
swali la kumuuliza nchimbi ni hili.
duniani kuna meli ngapi mpaka majangili wajue hii ni ya kinana na tuitumie?
 
Na yule mfanyakazi wake Muhindi ambaye alikuwa hana kibali halali cha kufanya kazi hapa nchini lakini akaandika kibali kilichotumika kusafirisha pembe Nchimbi ana maoni gani
 
Kinana mwenyewe alikiri kampuni yake kuhusika kusafirisha meno ya tembo. Lakini yeye hausiki!
 
Kumbe kampuni yake alikiri c kua yeye agent kama nchimbi alivosema duu chama changu cha magamba tunazidi kupotea kw kasi
 
Kinana mwenyewe alikiri kampuni yake kuhusika kusafirisha meno ya tembo. Lakini yeye hausiki!

kwani ukiwa na gari. Konda na dereva wakambeba mtu mzinzi bila kujua na wewe tajiri ni mzinzi?
 
kwani ukiwa na gari. Konda na dereva wakambeba mtu mzinzi bila kujua na wewe tajiri ni mzinzi?

Kwani sheria iko wazi Gari ikikamatwa na nyara za serikali haijalishi mwenye gari alijua au hajui bali dereva anashitakiwa na gari linataifishwa iweje kwa kinana. Mbona meli ya samaki wa magufuli tuliitafisha, iweje treatment tofauti kwa Kinana. Nahuyu munajua juu ya Tembo tuu mngelijua anavyohusika kuleta mameli viwanda ya samaki kuvua kwenye bahari yetu msingeli mtetea hata kidogo. Mnafikili kwa nini serikali inapata kigugumizi katika kukokotoa mapato kwenye meli za uvuvi? licha vyama vya upinzani kutoa kama pendekezo zaidi ya miaka 10 iliyopita.
 
kwani ukiwa na gari. Konda na dereva wakambeba mtu mzinzi bila kujua na wewe tajiri ni mzinzi?

Nawewe inaelekea umeingia TZ leo, Umesikia lini dalaldala za matraffiki zinakamatwa barabani na ndio zinaongoza kwa kukiuka sheria.

Pembe za ndovu zilivushwaje Bongo kama plastic na kukamatwa China (ambako walikwa wajui kinana ni nani kabla ya ziara yake ya majuzi hapa)?
 
Acheni kunwabwaja kama majuha nendeni shule ya sheria mouone si hvy ,mnavyodhani
 
kwani sheria iko wazi gari ikikamatwa na nyara za serikali haijalishi mwenye gari alijua au hajui bali dereva anashitakiwa na gari linataifishwa iweje kwa kinana. Mbona meli ya samaki wa magufuli tuliitafisha, iweje treatment tofauti kwa kinana. Nahuyu munajua juu ya tembo tuu mngelijua anavyohusika kuleta mameli viwanda ya samaki kuvua kwenye bahari yetu msingeli mtetea hata kidogo. Mnafikili kwa nini serikali inapata kigugumizi katika kukokotoa mapato kwenye meli za uvuvi? Licha vyama vya upinzani kutoa kama pendekezo zaidi ya miaka 10 iliyopita.

inasemekana hata epa yupo!duh!MAGAMBA JAMANI!!!!!!!!!!!!!!!!!!WE ACHA TU.
 
kwani ukiwa na gari. Konda na dereva wakambeba mtu mzinzi bila kujua na wewe tajiri ni mzinzi?
we kweliccm orijino,sheria inasema chombo cha usafiri kinachokutwa na nyara au na madawa ya kulevya kinataifishwa.
kwa hiyo kwa akili yako unafikiri waliotunga sheria hawakujua kuwa vyombo vya usafiri haviendeshwi na wamiliki?

mwambie nape akurudishie akili zako maana naona hata za kuvukia barabara ulimkabidhi.
 
Kama Nchimbi, Sendeka na Shelukindomnaishi Tanzania mtakuwa mnajua jinsi majina ya viongozi wa ccm yanavyo tumikakupindisha sheria za nchi :

1) Mfanyakazi wandani (house girl) amewahi kuajiliwa hospitali ya Dodoma bila kufanyiwa usaliKisa alitumia jina la bosi wake aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar e salaam – marehemuDitopile

2) Bwana RobertKisena amewahi kumtwanga mtama OCD kituoni akiwakazini – hakuna hatuaaliyochukuliwa kisa alikuwa mgombea wa CCM.

3) Kuna vijana wengiwanaotumia majina ya viongozi akiwemu Rais kutapeli wananchi, mfano kijanaaliyetaka kumtapeli Lowassa Iringa kwa kutumia jina la Lukuvi.

Ni vigumu sana kuamini kuwa kampuni na Jina la Kinana halikutumikakuwafumba macho maafisa wa forodha kuvusha pembe za ndovu na kuziita plastic

Nchimbi ulipaswa kuagiza vyombo vya dola kupata ukweli ni namna ganiJina la Kinana na kampuni yake vilitumika kuvusha nyara za Taifa hadi zikakamatwe China, iwekwa ridhaa yake au laa! Kinyume cha hilo unaonekana unajua ukweli zaidi ya huona unauficha kwa kiushia kuwatutajia watuhumiwa saba.
ukitaka kujua mada ya majungu, angalia kichoandikwa ndani, tofauti kabisa na kicha cha mada yenyewe
 
acheni kunwabwaja kama majuha nendeni shule ya sheria mouone si hvy ,mnavyodhani
here its where we dare to talk openly-mkuu unayejua sheria sema inatakiwa iweje????????
 
we kweliccm orijino,sheria inasema chombo cha usafiri kinachokutwa na nyara au na madawa ya kulevya kinataifishwa.
kwa hiyo kwa akili yako unafikiri waliotunga sheria hawakujua kuwa vyombo vya usafiri haviendeshwi na wamiliki?

mwambie nape akurudishie akili zako maana naona hata za kuvukia barabara ulimkabidhi.
Haya mambo ya kukariri sheria inasema bila kuweka kifungu cha sheria ni kupotezeana muda humu, MSIGWA kachanwa live sasa mnataka kumsafisha kwa mtindo huu siyo.
 
swali la kumuuliza nchimbi ni hili.
duniani kuna meli ngapi mpaka majangili wajue hii ni ya kinana na tuitumie?

swali hilo hilo unaweza kujiuliza na wewe kwa nini MAJANGILI wasiitumie ya KINANA, acheni kuleta uchuro wenu hapa JF badala yake tafakarini utumbo huu ambao MSIGWA amejitambia kuwa angekuja na hotuba babkubwa kumbe makohozi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom