kwa hiyo?Kinana mwenyewe alikiri kampuni yake kuhusika kusafirisha meno ya tembo. Lakini yeye hausiki!
kwa hiyo?Kinana mwenyewe alikiri kampuni yake kuhusika kusafirisha meno ya tembo. Lakini yeye hausiki!
Inasemekana? Msigwa akisoma hii utasikia kesho analipuka nayo kuwa KINANA yuko kwenye Epa, tujitahidi kuchunga midomo yetu kwa sababu inaonekana hawa CDM hawana sera tena mbele ya wananchi wamebaki kutafuta umaarufu kupitia uzushi kama huu.inasemekana hata epa yupo!duh!MAGAMBA JAMANI!!!!!!!!!!!!!!!!!!WE ACHA TU.
Hivi LWAKATARE anaendeleaje mkuu au ndiyo wameshamtosa wakati alikuwa akitekeleza azimio la KARATU.unamsema mwigulu nchamba? fafanua njomba
Inasemekana? Msigwa akisoma hii utasikia kesho analipuka nayo kuwa KINANA yuko kwenye Epa, tujitahidi kuchunga midomo yetu kwa sababu inaonekana hawa CDM hawana sera tena mbele ya wananchi wamebaki kutafuta umaarufu kupitia uzushi kama huu.
hivi lwakatare anaendeleaje mkuu au ndiyo wameshamtosa wakati alikuwa akitekeleza azimio la karatu.