rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,446 Apr 4, 2015 #1 ameamua kufata ushauri wa Mh Lema kujiunga na Futuhi!
Kiwi JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 1,054 Reaction score 995 Apr 4, 2015 #2 Kuuliza si ujinga naomba kueleweshwa maana naona niko gizani. Futuhi ni nini?
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Apr 4, 2015 #3 Kiwi said: Kuuliza si ujinga naomba kueleweshwa maana naona niko gizani. Futuhi ni nini? Click to expand... Futuhi= Fuata Tuliza na Himiza maana ya jumla ni kitendo cha kufanya mchanganyiko wa mambo ambayo siyo fani yako a.k.a kiini macho
Kiwi said: Kuuliza si ujinga naomba kueleweshwa maana naona niko gizani. Futuhi ni nini? Click to expand... Futuhi= Fuata Tuliza na Himiza maana ya jumla ni kitendo cha kufanya mchanganyiko wa mambo ambayo siyo fani yako a.k.a kiini macho
Kiwi JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 1,054 Reaction score 995 Apr 4, 2015 #4 bysange said: Futuhi= Fuata Tuliza na Himiza maana ya jumla ni kitendo cha kufanya mchanganyiko wa mambo ambayo siyo fani yako a.k.a kiini macho Click to expand... Shukrani mkuu! Nimekupata vizuri nilikuwa nang'aa macho na kupasua kichwa bila kupata jibu!
bysange said: Futuhi= Fuata Tuliza na Himiza maana ya jumla ni kitendo cha kufanya mchanganyiko wa mambo ambayo siyo fani yako a.k.a kiini macho Click to expand... Shukrani mkuu! Nimekupata vizuri nilikuwa nang'aa macho na kupasua kichwa bila kupata jibu!
C Camp Gilgal JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,453 Reaction score 4,595 Apr 4, 2015 #5 Kiwi said: Shukrani mkuu! Nimekupata vizuri nilikuwa nang'aa macho na kupasua kichwa bila kupata jibu! Click to expand... Unamfahamu braza Kei?
Kiwi said: Shukrani mkuu! Nimekupata vizuri nilikuwa nang'aa macho na kupasua kichwa bila kupata jibu! Click to expand... Unamfahamu braza Kei?
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 Apr 4, 2015 #6 Chosen generation said: Unamfahamu braza Kei? Click to expand... Braza K nampendaga sana nikumuona futuhi..
Chosen generation said: Unamfahamu braza Kei? Click to expand... Braza K nampendaga sana nikumuona futuhi..
Kiwi JF-Expert Member Joined Sep 30, 2009 Posts 1,054 Reaction score 995 Apr 4, 2015 #7 Chosen generation said: Unamfahamu braza Kei? Click to expand... Why are you asking me that?? I just needed to know the meaning of the word 'futuhi'. Do I need to know anyone else so that I can ask a question?
Chosen generation said: Unamfahamu braza Kei? Click to expand... Why are you asking me that?? I just needed to know the meaning of the word 'futuhi'. Do I need to know anyone else so that I can ask a question?
M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,559 Apr 4, 2015 #8 Jamaa anajichosha tu, kila alikopita kaacha matatizo tu bora futuhi inaburudisha, mi naona kaamua kufanya mazoezi tu huyu jamaa.
Jamaa anajichosha tu, kila alikopita kaacha matatizo tu bora futuhi inaburudisha, mi naona kaamua kufanya mazoezi tu huyu jamaa.