Kinana kuiokoa CCM

Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
85,706
2,000
katibu mkuu wa ccm kwa juhudi zake anazozifanya ni ishara tosha kuwa ameisaidia sana na ataiokoa kuangamia mwaka 2015.
 
Gefu

Gefu

JF-Expert Member
6,945
1,500
....ndo kwanza kaiangamiza, ngoja M4C ipite kijibu mapigo ndo utajua halihalisi kwa sasa huwezi kuelewa ngoma ya upande mmoja...
 
M

Mnasihi

JF-Expert Member
6,138
2,000
katibu mkuu wa ccm kwa juhudi zake anazozifanya ni ishara tosha kuwa ameisaidia sana na ataiokoa kuangamia mwaka 2015.
yote yanawezekana kuwa. Katibu anakula vumbi wakati rubani (mwenyekiti) anakiwezesha chama ughaibuni! Hiki kitakuwa kituko cha milenia ccm kupona 2015 kwa staili hii.
Sioni watakapoponea manake katibu na mwenezi wake wanapewa live bila chenga matatizo yaliyosababishwa na ccm bila woga!
Hongereni wadanganyika wenzangu kwa kuwapa ukweli. Hatuzihitaji kofia na fulana wala chumvi na vitenge tena!
Niwatakie kifo chema ccm mkakutane kuzimu na KANU!
Karibu cdm magogoni ushike hatamu ili utupatie kile tulichodhulumiwa kama maji safi, elimu bora, afya njema na maendeleo ya kweli.
 
S

sukankanwa

Member
92
0
Anaweza kuikoa kwa kuua tembo wetu,maana hao ccm wanamlinda sana.
 
K

kipimo

JF-Expert Member
828
0
amejitahidi kiasi chake, lakini kuna msimamo ambao wananchi wameshajiwekea kuhusu siasa hasa za CCM na ahadi za miaka ipatayo 50+ tangu uhuru, kuwa CCM wameshaonekana kuongoza kwa mazoea. majibu ya maswali ya mawaziri kwa wabunge, ni kielelezo tosha, mabadiliko ya uongozi ndo wanayahitaji.
 
Sanoyet

Sanoyet

JF-Expert Member
1,324
1,225
unadhani ccm ikifa watakimbilia wapi?
hivi mass killing ya wanyama hainaga vifungu huko ICC?
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
4,990
2,000
Mr President :plane: to Paris... Then :plane: to :usa: kupitia :canada: kisha :plane: to South Africa. Hapo atakaa na kuzurulaa :msela: hadi matanga yaishe na 40 juu. Kisha back to Tz.

Uhuru day 9 Dec kakosa.
Wafungwa wa Msamaa wa Rais wasahau. :faint:

Huyo anaangaika kula vumbi wakati wenzake wananing'inia angani.
 
Wile GAMBA

Wile GAMBA

JF-Expert Member
1,809
0
Tatizo ni kwamba wana tumia pesas myingi kuwalaghai wananchi, hivyo haijulikani wana pendwa au wananchi wanafata pesa na wali nyama...kwakweli huyu jamaa ni kama anapoteza muda na wakitaka waone joto la jiwe wacheze fair play wakati wa uchaguzi ndiyo wajue wananchi wana wachukia kwa kiasi gani hiki chama cha kifisadi
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
85,706
2,000
Ujue Kinana kama Kinana anajitahidi sana, na siasa zake ni za kiungwana kuliko hata Nape, ila useme wenzake ndio wana muangusha.
 

Forum statistics


Threads
1,424,514

Messages
35,065,559

Members
538,002
Top Bottom