Kinana asafishika na tuhuma za uongo

Kinana asafishika na tuhuma za uongo

The citizen siyo Kinana, yeye alishasema meli ile ni yake. Fikiria wewe unamiliki ghala fulani na hujampangisha mtu, je pakikutwa mali ya magendo unahusika au vipi! Halafu sisi wananchi tunaelewa kinachoendelea katika nchi yetu. Tulisema kwa Lwakatare lakini kina mwigulu waakapiza bungeni...lakini ukweli si huo umebaki kuwa ukweli. So the guy you are trying to clean is uncleanable over the elephant tusk scandle.
 
Mahakama ndio yenye jukumu na haki kisheria ya kutangaza nani ni innocent na nani ni guilt na sio gazeti la The Citizen. Kama Kinana anataka kusafishika ni budi aende mahakamani wakamsafishe vizuri!!
 
I just hope you all know what you are contributing, akutukanae hakuchaguli Tusi. Huyu bwana kinana amedhihirisha ni kiboko wa kuogopeka. Ndio maana unaona anavyo kandamizwa na tuhuma sizizo na msingi wowote . ushahidi unaotolewa na Kila taasisi za ki internation na za kitaifa mnazikata, mkifikiria mtaweza kupunguza Kasi zake kuiimarisha CCM na kuipatia ushindi mkubwa uchaguzi ujao.

Kuna habari za kuaminika ya Kuwa baada ya Ziara mkoani Morogoro ya Bw Kinana ambako aliweza kuimarishi ccm na kufungua offici za chama nyingi, iliwaletea wasisi mwingi wana CDM, ikalazimu Dr Slaa na timu yake ku weka kikao cha dharura, na kuamua kumshakiza msigwa kumtaja kinana na tuhuma zisizo na proof yoyote, kwani bungeni Ndio mahali pekee ambako mbunge anakuwa na fursa ya jukwa lisilomgharimu kuman ya campaigne na immunity ya kudu kana au kudanganya UMMA kwa lolote apendalo ambalo halina mchango kwa taifa au constituency yake.

All in All the wheals are in motion, and I don't see anybody in CDM can stop it, couse CDM has muzzled up its dynamic and only one who could possibly bring any change and is the crowd puller within CDM. He is the Shining Star HOnourable ZUBERI ZITTO KABWE. There is justice in CDM. that is what will give CCM a landslide win. God bless you all including the foul mouthed ones also.
 
Probably, either you are a member of TISS or an agent of TISS and your intention is to evaluate to what extent will CHADEMA react with your stupidity. Why do you afraid to demand the evidence from Kamanda Msigwa with respect to Kinana's allegation? why are you roaming around the bush ?
 
...mijitu mingine bhana aaagh !? Unapoteza muda kumsafisha k. Uzalendo mnaodai ukowapi ? Watu wanaiba live we unaleta utumbo. Kama ni uongo mbona hakuna aliyeomba muongozo. Eti mataifa wamemsafisha,tutajuaje kama ndo wateja wake..? Njaa mbaya sana jama..
 
weka mbali na tembo wetu!!!
Huyo msomali ujangili ni asili yake so hakuna haja ya kuhangaika kumsafisha humu mnapoteza muda wenu bure
 
hawa citizen si ndio akina msacky full makanjanja and self interest we unadhani wanaweza wakamuandika vibaya ngoja nimalizie hii makala yangu ya MAWIO.
 
The citizen siyo Kinana, yeye alishasema meli ile ni yake. Fikiria wewe unamiliki ghala fulani na hujampangisha mtu, je pakikutwa mali ya magendo unahusika au vipi! Halafu sisi wananchi tunaelewa kinachoendelea katika nchi yetu. Tulisema kwa Lwakatare lakini kina mwigulu waakapiza bungeni...lakini ukweli si huo umebaki kuwa ukweli. So the guy you are trying to clean is uncleanable over the elephant tusk scandle.

mimi nilitegemea hii meli ya kinana ingekuwa ishataifishwa huku hatua zingine za uhujumu uchumi zikichukua nafasi,mbona uhamiaji wanataifisha mabasi yanayo beba wahamiaji haramu!
 
Back
Top Bottom