MATUKIO KATIKA PICHA
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina namba tisa tawi la Masaki, kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Komredi Abdulrahman Omari Kinana Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
#CCMImara
#KaziIendelee
View attachment 2182511View attachment 2182512View attachment 2182513View attachment 2182514View attachment 2182515View attachment 2182516View attachment 2182517
Maelezo yoa wenyewe chama kilikuwa na wakati mgumu Kinana akiwa katibuKwani Kinana naye ni mtu wa Pwani?
Wakati Akiwa Katibu Mkuu alifanya kazi kubwa sana kurudisha heshima ya Chama , na aliwakosoa watendaji wa Serikali waziwazi bila kupepesa macho.
Wewe nani kakukataza kupanda V8?Mbowe anaokoteza Hela za wananchi mitaani wakati yeye anapanda V8
Kwani wote waliompokea si wana CCM wenzake?Huyu mtu ana mvuto mkubwa wa kisiasa na ushawishi wa kustaajabisha, anatosha kwa Urais kabisa ikiwa afya itakuwa bado njema. Mungu amlinde
Akikujibu nishitue,Kwani wote waliompokea si wana CCM wenzake?
Kiashiria cha huo mvuto ni kipi?
[emoji38][emoji38][emoji38] Hivi Twaweza bado ipo au ndio imepigwa pini ?
Siempre CCM🙏MATUKIO KATIKA PICHA
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina namba tisa tawi la Masaki, kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Komredi Abdulrahman Omari Kinana Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
#CCMImara
#KaziIendelee
View attachment 2182511View attachment 2182512View attachment 2182513View attachment 2182514View attachment 2182515View attachment 2182516View attachment 2182517
Mipasho ya pwani tuu awamu hii.
Vivaaa CCMUjumbe wa leo
“wanaosema CCM itakufa, CCM iko imara leo kuliko jana watambue Panya hafundishwi kula usufi wakati ndio kazi yake”
Shaka Hamdu Shaka
Katibu Mwenezi CCM Taifa
Mapokezi ya Makamu Kinana
Diamond Jubilee 10/04/2022.
View attachment 2182701
😍Ujumbe wa leo

Mbona anamsema mtangulizi wake?
Unakuwa kama chuma cha pua?!!Mapokezi ya nini na wakati yupo Dar daily?
Amemsemea wapi ?!!Mbona anamsema mtangulizi wake?
Wapigaji wanarudi kwa kasi. Kweli kazi iendelee
MATUKIO KATIKA PICHA
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina namba tisa tawi la Masaki, kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Komredi Abdulrahman Omari Kinana Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
#CCMImara
#KaziIendelee
View attachment 2182511View attachment 2182512View attachment 2182513View attachment 2182514View attachment 2182515View attachment 2182516View attachment 2182517
KISHINDO HIKI HIKI Alipewa MAGUFULI wakati Anawasumbua huyu KINANA na MAKAMBA Watanzania WANAFIKI SANAMATUKIO KATIKA PICHA