Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina namba tisa tawi la Masaki, kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam Komredi Abdulrahman Omari Kinana Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Haya mapokezi yangefanyika viwanja vya wazi kama Jangwani kipindi hicho, moshi ungefuka ingawa moto usingewaka!!! Maana kuambiwa unalamba asali wakati mate yamekauka si jambo la mchezo. Ha ha ha haaaa!