assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
unamuona ni jembe kwa sababu polisi hawaziwii maandamano na mikutano yake kama wanavyofanya kwa chadema.ebu siku moja polisi waruhusu maandamano ya chadema hapo ndipo utakapoona kwamba kinana ni ni cha mtoto
Jembe kwa kujenga vile vitofali vya tope? Sasa wafundi nyumba wanaojenga maghorofa watakuwa matrekta.
Inawezekana yeye no CUF au ACT au TLP kwani chademabmtani wake lazima awe ccm?
binafsi siipendi kabisa CCM ila kiukweli KINANA ameihusha ccm. yan wanachama walichakata tamaa lakini hiv ss kinana anajaza umati wa watu kabla ht kampeni hazijaanza. kwa wapenz wa itv wataniunga mkono jinsi alivofunika.
upande wa mtani anakimbizana na matamko hajui chama ni kwenda grassroot.
Inawezekana yeye no CUF au ACT au TLP kwani chademabmtani wake lazima awe ccm?
Kwani nani kaitaja chadema hapo wewe kuku...acha kujiharishia basi
Nakuunga mkono kinana kaiinua Ccm sana
mkuu tuache unafiki hembu sema ukweli
Yaani leo unaukana ukada wako kwenye chama cha magamba?binafsi siipendi kabisa CCM ila kiukweli KINANA ameihusha ccm. yan wanachama walichakata tamaa lakini hiv ss kinana anajaza umati wa watu kabla ht kampeni hazijaanza. kwa wapenz wa itv wataniunga mkono jinsi alivofunika.
upande wa mtani anakimbizana na matamko hajui chama ni kwenda grassroot.
zzk mambo hy ya strategy ndo alikua anaweza ss wamebaki watu wasio na vision wala mission
Hivi ni kwa nini Kinana asi gombee Uraisi wa nchini hii kwani anaonekana ni mtu anaye guswa sana na kero za common mwananchi. Ni nimfuatiliaji makini pia anaonyesha kuwa na dhamira ya kweli ktk kutatua kero