Akiandika kwenye ukaurasa wake wa FACEBOOK Mbunge wa Iringa Mjini ambaye pia ni waziri kivuli wa wizara ya maliasili na utalii Mh.MCHUNGAJI PETER MSIGWA amesema kuwa amesoma habari ya KINANA kufungua mashtaka dhidi yake baada ya kumtuhumu kujihusisha na ujangili na amesema Jopo la mawakili makini lipo tayari kusimamia hilo.
nia yake si kumfunga msigwa bali anataka haya mambo ya ujangili yasiendelee kuongelewa. mia
Peleka mahakamani huyu mchungaji kanjanja.
Tafadhal mzee kinana, kuwa na Huruma maana naona umekusudia kulamba kiinua mgongo chake cha bunge, mil 350 atazinyea wapi hasa ukizingatia Mwakalebela atapewa ubunge wake ulioahirishwa kwa makosa ya kisiasa hapo 2015!