security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Rais Paul Kagame wa Rwanda akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana katika mazungumzo yaliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena, Mjini Kigali Rwanda.[/FONT]
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana juzi alikutana na Rais wa Rwanda Paul Kagame mjini Kigali.
Kinana na Kagame walizungumza mambo mengi ikiwa pamoja na umoja na ushirikiano wa nchi mbili hizi.