Kinana aivua nguo Serikali ya CCM!


Hajaivua nguo bali kaongea ukweli. Kama serikali na chama chake vinakosea kwa nini asiseme? CCM si kama Chadema ambacho ukikosoa unavuliwa uanachama.
 
ndungu yangu mbona hueleweki ,sasa katibu mkuu anapo wakumbusha watendaji wa serikali kutangaza wanayo yatenda kama mabarabara ,maji kila kona,viwanda ndihivyo mtwala simu kila kona jamaani .mnataka afanyaje
acheni propanganda za kizushi....subilini 2090 CDM itakapo chukua nchi ndio mukae kimya si kwa chama dume CCM
 
... and this fellow down here too is yet but another blend of the cream of JF GREAT THINKERS emblem anyway!!!!!!!!

 
wanabadilika kidogo kidogo...mwishoe atasema yoye na bado...anaogopa zomea zomea
 
Mkuu Sangarara, ili kulitendea haki hili Jukwaa "Where people dare to talk", ungetanabaisha hayo maneno aliyoyasema, ni ktk kikao gani na muktadha upi!!

Hakuna kinachofanyika ama kuzungumzwa sirini ambacho hakitajurikana, kuwa mvumilivu kila kitu kitakuwa wazi, cha msingi ni kwamba Kinana Mwenyewe amekata tamaa, haiamini serikali ya chama chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…