Kinana aivua nguo Serikali ya CCM!

Nguzo kuu ya SIASA ni UNAFIKI

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kinana ni binadamu ana uhuru wa kutoa maoni kama mtanzania wa kawaida...pia yeye anaisimamia serikali sio sehemu ya serikali kwa hiyo ni sahihi kuikosoa serikali
 

Misimamo kama hii ndiyo itakayofanya Vyama vya Upinzani viendelee kuwa na "hasira" ya kutokuchukua Nchi kwa muda mrefu,kwa sababu hizi ni "propaganda" zinazowafanya wapiganaji wa upinzaniwajiamini sana kwamba wameshinda,wakati ukweli ni kwamba CCM wako field,na wanafanya Kazi.....
 
Ah gamba ni gamba tu , ni wazee wa kupima upepo na kuweka mambo sana, sioni cha ajabu hapa......
 
Alilenga kupata umaarufu tu kwa watu
 
je, alizungumzia yeye kuhusika na u-dentist wa ngi-nanaz...???!!
 
Yaani afadhari hata kinyonga tunamjuwa huwa anabadilika rangi,... Hawa vinyonga wa siri huwa wanabadilikia pabaya sana...... Ageanza yeye kuzungumzia tembo....
 
He is against it and before we forget his statements he will be in favor of it.They are typical CCM loose-cannons
 
Wakati bungeni CCM wanamnanga Filikunjombe yeye jana kamsifu kasema ni JEMBE
 
Hakuna mahali kinana ameiumbua serikali hapa, ni mbwembwe za mleta mada kuvutia wasomaji
 
Nguo gani ambazo serikali imevuliwa!. Sema mawazo na mtazamo wako ndiyo umevuliwa nguo.

Wewe ni Mwanasheria gani unayependa maneno na habari za Udaku udaku. Kwa mtaji huu, nina wasiwasi kama CHADEMA watakupa ticket ya kugombea ubunge kama unavyofikiria.

Moja ya tofauti ya mwanasheria na watu wa vijiweni ni uwezo wa kuchambua na kuchagua maneno.

Taaluma yako ya sheria unaidhalilisha.
 

Hata mimi nilimsikia kupitia ITV na Deo naye akakazia Viwanda vya makaa ya mawe na chuma vitajengwa hapa duh contradiction ya hali ya juu wanaamtwara wanaitwa magaidi kwa sababu bomba linatakiwa kwenda bagamoyo kulipa fadhili ya kutonyongwa mwana wa mfalme
 
namna ya mkubwa kuomba msamaa kwa aliowakosea ni kuguna tu, hiyo ni dalili ya kuwaomba wananchi msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…