Kinana aiteka korogwe mjini leo

Kinana aiteka korogwe mjini leo

security guard

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
799
Reaction score
603
  • [FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Ashiriki kuchavanga kwenye shamba la Skimu ya Mahenge[/FONT]
  • [FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Nape awafungua vijana kuhusu siasa zisizo na tija [/FONT]
  • [FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Mrisho Gambo awa shujaa kwa kusema ukweli kwenye kila hoja iliyoletwa na wananchi wa Korogwe.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge[/FONT].
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge[/FONT]

[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kujenga zahanati Mahenge kwa Mndolwa.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Mbunge wa Korogwe mjini [/FONT][FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Bw. Yusuph Nassir akielezea mipango ya maendeleo ya jimbo lake wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa zahanati ya Mahenge Kwamndolwa .[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa vyumba vya maabara vya shule ya sekondari ya Old Korogwe.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi ambapo aliwaasa vijana kuwa makini na wanasiasa wanaotanguliza madaraka kuliko utu.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif] Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi wa Korogwe walifurika kwenye mkutano wa hadhara ambapo aliwaambia wananchi hao kuchagua viongozi bora kwenye chaguzi zote zijazo,kuhakikisha watoto wao wanaenda shule na wasirudishwe kwa sababu ya ada na mwisho aliwasisitiza wakazi wa Korogwe kujiunga na mifuko ya Afya ya jamii.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif] Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mheshimiwa Mrisho Gambo kusalimia wananchi wa Korogwe wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi ya Mazoezi.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif] Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mheshimiwa Mrisho Gambo akiwahutubia wakazi wa Korogwe wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya Msingi ya Mazoezi.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Korogwe kwenye mkutano uliokuwa na umati mkubwa wa watu waliokuwa na shauku ya kuuliza maswali kuhusu maendeleo yao ya Korogwe.[/FONT]
 
Wakimaliza hapo korogwe,Kinana na Nape tuanomba waje hapa turiani na kilombelo kupalamiwa.
 
baba yako ndio jangili mbwa we unaushaidi? we watakuwa wanakufwarakata hakuna zaid ya kinana nchi nzima piga kaz mwanajesh wa wanyonge
 
Ukiona kijani nyingi.....malori yamefanyakazi kufuatia amri ya mkuu wa wilaya.

Nini kiwafurahishe wananchi hata wajae hivyo viunga?
 
Jangili Kinana akiuza pembe za ndovu anakuja kula naww shoga wake. Ma.la.ya mkubwa wewe, mmepoteza dira na lichama lenu lililozeeka.
 
baba yako ndio jangili mbwa we unaushaidi? we watakuwa wanakufwarakata hakuna zaid ya kinana nchi nzima piga kaz mwanajesh wa

Jangili Kinana akiuza pembe za ndovu anakuja kula naww shoga wake. Ma.la.ya mkubwa wewe, mmepoteza dira na lichama lenu lililozeeka.
 
Kinana ni bonge la kiongozi safi sana.
Naunga mkono hoja yako mkuu, kweli KINANA ni bonge la kiongozi wa majangili, ana uwezo mzuri wa kupanga mikakati ya ujangili. Mpaka sasa amefanikiwa kuangamiza asilimia 75 ya tembo wote nchini kwa ajili ya kuvuna pembe za ndovu.
 
  • Ashiriki kuchavanga kwenye shamba la Skimu ya Mahenge
  • Nape awafungua vijana kuhusu siasa zisizo na tija
  • Mrisho Gambo awa shujaa kwa kusema ukweli kwenye kila hoja iliyoletwa na wananchi wa Korogwe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.
Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kujenga zahanati Mahenge kwa Mndolwa.
Mbunge wa Korogwe mjini Bw. Yusuph Nassir akielezea mipango ya maendeleo ya jimbo lake wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa zahanati ya Mahenge Kwamndolwa .
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa vyumba vya maabara vya shule ya sekondari ya Old Korogwe.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi ambapo aliwaasa vijana kuwa makini na wanasiasa wanaotanguliza madaraka kuliko utu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi wa Korogwe walifurika kwenye mkutano wa hadhara ambapo aliwaambia wananchi hao kuchagua viongozi bora kwenye chaguzi zote zijazo,kuhakikisha watoto wao wanaenda shule na wasirudishwe kwa sababu ya ada na mwisho aliwasisitiza wakazi wa Korogwe kujiunga na mifuko ya Afya ya jamii.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mheshimiwa Mrisho Gambo kusalimia wananchi wa Korogwe wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi ya Mazoezi.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mheshimiwa Mrisho Gambo akiwahutubia wakazi wa Korogwe wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya Msingi ya Mazoezi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Korogwe kwenye mkutano uliokuwa na umati mkubwa wa watu waliokuwa na shauku ya kuuliza maswali kuhusu maendeleo yao ya Korogwe.
Hawa Jamaa wana PHD za kucheza na akili za wadanganyika-Ndiyo maana wanatuona mazuzu
 
Naunga mkono hoja yako mkuu, kweli KINANA ni bonge la kiongozi wa majangili, ana uwezo mzuri wa kupanga mikakati ya ujangili. Mpaka sasa amefanikiwa kuangamiza asilimia 75 ya tembo wote nchini kwa ajili ya kuvuna pembe za ndovu.

Umenena mkuu, big up
 
Ukisema eti Kinana aiteka korogwe tunaanza kuogopa kwa Sababu tunajua kazi za Wasomari hasa yeye mpaka wanyama ndovu wanamjua
 
  • Ashiriki kuchavanga kwenye shamba la Skimu ya Mahenge
  • Nape awafungua vijana kuhusu siasa zisizo na tija
  • Mrisho Gambo awa shujaa kwa kusema ukweli kwenye kila hoja iliyoletwa na wananchi wa Korogwe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.
Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kujenga zahanati Mahenge kwa Mndolwa.
Mbunge wa Korogwe mjini Bw. Yusuph Nassir akielezea mipango ya maendeleo ya jimbo lake wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa zahanati ya Mahenge Kwamndolwa .
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa vyumba vya maabara vya shule ya sekondari ya Old Korogwe.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi ambapo aliwaasa vijana kuwa makini na wanasiasa wanaotanguliza madaraka kuliko utu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi wa Korogwe walifurika kwenye mkutano wa hadhara ambapo aliwaambia wananchi hao kuchagua viongozi bora kwenye chaguzi zote zijazo,kuhakikisha watoto wao wanaenda shule na wasirudishwe kwa sababu ya ada na mwisho aliwasisitiza wakazi wa Korogwe kujiunga na mifuko ya Afya ya jamii.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mheshimiwa Mrisho Gambo kusalimia wananchi wa Korogwe wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi ya Mazoezi.
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mheshimiwa Mrisho Gambo akiwahutubia wakazi wa Korogwe wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya Msingi ya Mazoezi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Korogwe kwenye mkutano uliokuwa na umati mkubwa wa watu waliokuwa na shauku ya kuuliza maswali kuhusu maendeleo yao ya Korogwe.

Mbona Nape amemwachia Kinana peke yake kufanya "igizo" la kuchavanga shamba la mpunga, na yeye akaishia tu kufyeka nyasi? Tafsiri yake ni nini? Au na yeye ameanza kuyashitukia "maigizo" hayo??????????
 
  • [FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Ashiriki kuchavanga kwenye shamba la Skimu ya Mahenge[/FONT]
  • [FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Nape awafungua vijana kuhusu siasa zisizo na tija [/FONT]
  • [FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Mrisho Gambo awa shujaa kwa kusema ukweli kwenye kila hoja iliyoletwa na wananchi wa Korogwe.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge[/FONT].
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge[/FONT]

[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kujenga zahanati Mahenge kwa Mndolwa.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Mbunge wa Korogwe mjini [/FONT][FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Bw. Yusuph Nassir akielezea mipango ya maendeleo ya jimbo lake wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa zahanati ya Mahenge Kwamndolwa .[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa vyumba vya maabara vya shule ya sekondari ya Old Korogwe.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi ambapo aliwaasa vijana kuwa makini na wanasiasa wanaotanguliza madaraka kuliko utu.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif] Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi wa Korogwe walifurika kwenye mkutano wa hadhara ambapo aliwaambia wananchi hao kuchagua viongozi bora kwenye chaguzi zote zijazo,kuhakikisha watoto wao wanaenda shule na wasirudishwe kwa sababu ya ada na mwisho aliwasisitiza wakazi wa Korogwe kujiunga na mifuko ya Afya ya jamii.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif] Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mheshimiwa Mrisho Gambo kusalimia wananchi wa Korogwe wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi ya Mazoezi.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif] Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mheshimiwa Mrisho Gambo akiwahutubia wakazi wa Korogwe wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya Msingi ya Mazoezi.[/FONT]
[FONT=Arial,Helvetica,sans-serif]Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Korogwe kwenye mkutano uliokuwa na umati mkubwa wa watu waliokuwa na shauku ya kuuliza maswali kuhusu maendeleo yao ya Korogwe.[/FONT]

Kulikuwa na wali ama pilau?
 
MSIGWA ALIPOTAKIWA MAHAKAMANI KUTHIBITISHA UJANGIRI WA KINANA,WAKILI WAKE AKADAI MTEJA WAKE ANAKINGA YA UBUNGE.kesi inaendelea.
 
Back
Top Bottom