Kinamama msaada tutani tafadhali......

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,339
Points
0

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,339 0
Kijana wangu wa karibu kaniomba ushauri.Yeye anaishi Dar na kapata mpenzi anayeishi na kufanya kazi Mtwara. Anasema anampenda sana na Inshallah wakijaliwa angependa amuoe.Tatizo nii hii distance relationship,anasema inaelekea kuna mtu kamtonya mdada kuwa jamaa ni kiwembe,hivyo masaa 24 binti roho juu juu,akiandika sms zikipita dakika tano haijajibiwa roho hiyo inakuwa juu juu,usiku jamaa asipompa g nite mapema ndo kabisa dada haamini kama hali ni shwari,mradi tu full mastress binti wa watu.Nauli ya kwenda Mtwara kila weekend jamaa uwezo hana,barabara ya Mtwara ndo hivo kipande cha Ikwiriri_ Somanga kibovu kweli kweli.Kinamama you are the ones who knows a woman's heart,naomba mnipe tip kijana nimshauri nini,afanye nini kumtuliza la'aziz wake ili roho iache kumwenda mbio? Kijana amenihakikishia kuwa ame reform mambo ya ukware hataki tena. Natanguliza shukran.
 
Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,118
Points
1,250

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,118 1,250
Aisee hiyo ni kweli kabisa huwa inatokea as long as msichana anampenda jamaa kwa sana.

Lakini hapo sijaona tatizo hata kidogo ni timing tu ya kijana kumakesure kwamba aliyosema
ni kwelli kaacha ukwale kabisa na kuconcetrate kwa mdada muda wote hatashindwa
kutekeleza hayo yote na kutimiza matakwa ya bibie kama muda wa kumwambia usiku mwema
atekeleze kwa wakati na msg za kufa mtu missing you, i love you, when are you coming etc (za wizi tu hizi)
Huwa hakuna ukweli (mawazo yangu) ha ha ha

Umbali unatesa nyie acheni roho pee kila wakati unawaza sijui yuko na mwajuma saa hizi mbona hajibu simu
akisema sina voucher ushatuma 10,000 lakini hupigiwi ha unaweza kufa na BP

Mwambie huyo msichana ajiunge JF awe nunda asiwe na Presure za kijinga
 
The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Messages
21,638
Points
1,225

The Finest

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2010
21,638 1,225
Aisee hiyo ni kweli kabisa huwa inatokea as long as msichana anampenda jamaa kwa sana.

Lakini hapo sijaona tatizo hata kidogo ni timing tu ya kijana kumakesure kwamba aliyosema
ni kwelli kaacha ukwale kabisa na kuconcetrate kwa mdada muda wote hatashindwa
kutekeleza hayo yote na kutimiza matakwa ya bibie kama muda wa kumwambia usiku mwema
atekeleze kwa wakati na msg za kufa mtu missing you, i love you, when are you coming etc (za wizi tu hizi)
Huwa hakuna ukweli (mawazo yangu) ha ha ha

Umbali unatesa nyie acheni roho pee kila wakati unawaza sijui yuko na mwajuma saa hizi mbona hajibu simu
akisema sina voucher ushatuma 10,000 lakini hupigiwi ha unaweza kufa na BP

Mwambie huyo msichana ajiunge JF awe nunda asiwe na Presure za kijinga
Unajuaje kama hayuko humu lol!!!!
 
za siku shemeji? long time sijakutia machoni! sawa nitamshtua kuhusu JF ,i hope atakuwa na access ya internet.
 
Forum statistics

Threads 1,356,538
Members 518,911
Posts 33,132,884
Top