kinahitajika chumba cha kupanga

kinahitajika chumba cha kupanga

Mwanzo ni Mwisho

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
4,394
Reaction score
10,836
Habari,
kinahitajika chumba cha kupanga selfcontainer / master, kodi ya 100,000 kwa mwezi. maeneo ya mwembeyanga, tandika magorofani karibu na chuo cha bandari.
 
Habari,
kinahitajika chumba cha kupanga selfcontainer / master, kodi ya 100,000 kwa mwezi. maeneo ya mwembeyanga, tandika magorofani karibu na chuo cha bandari.
Unasoma Chuo cha bandari,?
 
n

ndugu kama una chumba chenye sifa tajwa, nipe muongozo jinsi ya kukipata, hii ndo point kuu
Utapata, ila nilitaka tu kujuwa maana maeneo Yale nyumbani nyingi ni za kizamani, maeneo ya wenyeji hayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom