Kinaendelea nini TCU kwa wale WA multiple

Kinaendelea nini TCU kwa wale WA multiple

Moses Ngelime

Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
29
Reaction score
19
Message…napenda kujua kinaendelea nini mpaka muda uhuu kwa wale WA multiple Walio fanya confirmation Tayar na ambao wamewasiliana na vyuo husika. Mana udahili awamu ya pili umefungulia ila hatima ya wale WA multiple mpaka Sasa awajulikani wapo kundi gani either first batch au laah kuna baadhi mpaka Leo ukiingia kwenye account zao za oas wameandikiwa bango LA multiple bado lipo Wakat muda wake ulisha isha. Kwel TCU Amko Seriously watu watapata tabu sana
 
Mi nitoe tu ushauri kwa TCU,
Kwa wale wa multiple ambao mpaka leo hawajapata codes au walipata lakini zikagoma kuconfirm basi wapewe nafasi ya kwenda chuo wakipendacho pindi mchakato wa udahili utakapofika mwisho na vyuo kuanza kusajili wanafunzi waliowadahili
 
Write your reply...kwel kabisa brown.. Kuna watu mpaka Sasa awajui hatima zao.
 
Mi nitoe tu ushauri kwa TCU,
Kwa wale wa multiple ambao mpaka leo hawajapata codes au walipata lakini zikagoma kuconfirm basi wapewe nafasi ya kwenda chuo wakipendacho pindi mchakato wa udahili utakapofika mwisho na vyuo kuanza kusajili wanafunzi waliowadahili
TCU walishatoa muongozk mbona , waliwataka watu wenye tatizo la confirmation wawasiliane na vyuo husika vyuo vitawaconfirm.
 
Mpaka leo mambo ya multiple selection yapo🤔🤔🤔🤔..Noma kwel
 
Write your reply...meek mm nili Pata kitambo tatzo linakja bado profile zetu ziko kwenye multiple Sasa mtu Ata uelew Wakat ushafanya confirmation
 
TCU walishatoa muongozk mbona , waliwataka watu wenye tatizo la confirmation wawasiliane na vyuo husika vyuo vitawaconfirm.
Mkuu hicho chuo nimewailiana nacho lakini bado nacho kinaniambia taarifa wamepeleka TCU wanipe TCU code sasa kizungumkuti tuu. e-government bado kabisa. usanii mtupu
 
Back
Top Bottom