dada zetu mmezidi kufanya mambo haya hadharani tena istagram inawapoteza mnapiga picha mmekumbatiana kimahaba huku mnakiss,sijui mnaifundisha nini upcoming generation,kasi ya wanaume si sawa na wanawake,dar nyumbani nawaelewa huko kukiss hadharan ni kama fasion,hapa mombasa pia ni afadhali ya dar. sijui nimwambie dougiemaster anisaidie kufikisha ujumbe
Wanaofanya hivyo waache inapoteza utu wao. Na ni dhambi
kama hujaolewa ni pm
Awwww,gud job honey!Nina watoto9 na kila mmoja na baba yake. Utaweza kuhandle?
Nina watoto9 na kila mmoja na baba yake. Utaweza kuhandle?
Awwww,gud job honey!
Ukuje nikupe boonge la kumbato
watoto ni baraka kubwa pia napenda watoto,itakuwa poa sana kama nikiwa baba yao,nitaweleta huku kenya wakae na mimi karibu
Ahahahahahahahahaha mtamuua Falcon wa watu!Sweetheart am cuming now now!
Ahahahahahahahahaha mtamuua Falcon wa watu!
Wanawake wako sweet muda wote... Mwanaume wa kazi kumuita sweet, baby inachukuliwa kama udhaifu ... makuzi yetu inatufunza mwanaume kuwa ngangari ..
Ha haa ngoja nianze kukusafirishia mmoja baada ya mwingine. Tuma shekeli basi
binafsi sipendi mbaya zaidi hizo sauti za kuitana zinalegezwa kama mlenda..eti "ooh sweer har i miss you"
Nina watoto9 na kila mmoja na baba yake. Utaweza kuhandle?
No wanaume sio kama wanawake kuitana honey sweet darling ni mambo ya kawaida kwa waschana ndo wameubwa hvyo huwa kuna maneno ya waschana na wavlana haimaanish ni wasagaji wanaume wao wanatakiwa wakaze ndo maana kwa girls kutembea wameshkana mkono ni kawaida ila si kawaida kwa wavlana usifananishe wavlana na waschana wameubwa tofauti kabsa
passport tisa na ya kwako ya kumi,hapo tupate noah kabisa, manake vits haitafua dafu
hahahahahaha asante mamaaa nahtaji watoto m ntawahandle