Kinadada piteni hapa turekebishane

Mleta maada angalia nawe usije sagwa maana nimesoma comments zote naona umezungukwa na Wahusuka tupuuu hapa!!!
 
Mleta maada angalia nawe usije sagwa maana nimesoma comments zote naona umezungukwa na Wahusuka tupuuu hapa!!!

yaani skutegemea kama dada zetu wanapenda hii michezo kwa kasi kubwa namna hii
 
Du mtoa mada umeongea kwa hasira, ni kweli haipendezi hasa sweatheart, honey, babe hata dear binafsi nadhani imekaa kushoto. Ila mpenzi, mamy naona sio mbaya sana, lakini pia inapendeza kuitana na rafiki yako wa karibu zaidi sio kila rafiki au mtu tu kumuita hivyo, japo ndio hivyo siku hizi kila mtu honey.

Lakini kumbuka si kila aliye na rafiki wa karibu na wanaitana hayo majina ni wasagaji. Hilo suala la kukiss ni hatari sana, binafsi nawaambia wanawake to stop it, maana huo ndio mwanzo wa kufanya ufuska usiotarajiwa.
 
Western culture itawamaliza mambo yakwenye tamthilia hayo wanapractice"
 

hata wewe umekoment kwa hasira sana,nafikiri huu ndio ule wakati uliotajwa kwenye vitabu vya dini
 
walana wao kwa wao kisha wanasema uzungu

Kusagana ni kama kupiga nyeto tu cjui wanapenda nn watoto wakike wengine. Mnaacha wanaume wanakaa na vipururu vyao mnageana nyinyi kwa nyinyi viKe vyenu hata haipendezi.
 
Kusagana ni kama kupiga nyeto tu cjui wanapenda nn watoto wakike wengine. Mnaacha wanaume wanakaa na vipururu vyao mnageana nyinyi kwa nyinyi viKe vyenu hata haipendezi.

hili tatizo ni kubwa kuliko inavyoonekana
 
Naona wameamua kuitana ili kukukomoa.
Ila message sent.
mfano apa chuo unaweza ukaskia mtu anaita bby,wanapigana makiss hamna cha kuwafanya.
Tuwaache watu wazima na uamuzi wao..
 
falcon mombasa

mmmmm! Sizani kama ni mbaya kiivo labda kwa walio serious? Binafsi wateja wangu wengi wanawake so mara kibao kukumbushia den au kuwajulisha mzigo natumia sana " my dia.... Tena sana. Hata marafiki zangu wa ukweli natumia my dia so sion kama kuna sheeeda

so na anaetumia honey baby swthat sion baya kama hakuna la nyongeza.
 
Last edited by a moderator:
siamini kama nimesoma hii post kumbe ndo maana umetutenga tusisome ili mbwatuke vizuri....!!!!!!
 

vp demu anakiss na demu mwenzie tena deepkiss ,nikiuliza anadai ni shosti yake,na wewe ndivyo unavyowanyia wateja wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…