Kinadada hii ni kwa ajili yenu!!!

Kinadada hii ni kwa ajili yenu!!!

iphone 18 promax

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,918
Reaction score
2,153
547768_593530423993501_842326160_n.jpg
Hakuna Mwanaume Mkarimu tu burebure..Mwanaume mpole kama njiwa..Mwanaume very caring tu from nowhere..Mwanaume anayekusikiliza...Mwanaume anayekutafuta asubuhi hadi jioni kujua hali yako..Mwanaume anayehakikisha unasmile muda wote..Mwanaume anayejali na kukubembeleza ule chakula...Mwanaume anayejua hadi rangi ya chupi unazopenda,loh mashallah...Usicheze na Mwanaume anayewinda Kipochi manyoya kwa ustadi wa kunguru aliyeona kifaranga kinacheza peke yake....Yuko radhi afanye lolote kwa gharama yoyote ilimradi aweze kuchungulia hazina yako ya Taifa..
Muite hata saa 8 usiku mwambie ''Baby nna hamu ya Burger ya Vitunguu Swaumu'',wala hatalalamika,ataifuata hata Chalinze na atakuletea Bunju B..Sasa fanya kosa tu upanue kidooogo tuuu na kumpa tuzo za Grammy's kama Mwanaume bora wa mwaka uone shughuli..Utashangaa yule Mwanaume uliyeamini ni romantic amefariki lini..Hakuna rangi utaacha ona..Burger na Shopping zote zitafia pale Bandari ya Chumbe,Visiwa vya Pemba.
Ni heri ukosee Kutuma Salio la MPESA kwa mtu kuliko kuamini kuna Mwanaume aliye Too Sweet kwako wewe bila Sababu...
 
Huo mchicha au?naona huyo mwanaume wa hivyo hajazaliwa bado!!
 
mbona unataka kutupeperushia?usiwaamshe walio lala
 
Wanaume bwana,nilipokuwa kijana mimi nilikuwa natumia silaha ya upole na usmati kukamata wadada.Sasa hivi naona yote ni bure tu kama alivosema mfalme Sulemani maana wanawake wanene, wembamba, vimbaumbau wote wana radha sawa kwa hiyo sioni haja ya kujitaabisha ndiyo maana nimeamua kutulia na mama watoto wangu na nimeridhika nae,yeye hata anitume baga mail elfu kumi ntaenda hata kwa kutumia air force one maana ndiyo anaenijua ndani nje na ndiye nikiugua atanibadilisha nepi.Waliobaki ni wezi tu sihangaiki nao
 
Upo? Mapenzi makali hayo, but i beg to differ. Siyo wote huyeyuka baada ya kuzama, inategemea msichana amemhandle vip mwanaume huyo.
 
It depends. . .
Kama nia yake ni kuonja tu lazima aache kujifanyisha akishapata ladha na kutosheka. Lakini kama alikuja kwa nia ya kujenga kambi na mwanamke akampokea vizuri atafanya na zaidi japo mapungufu ya kawaida hayakosekani.
 
Thats right tatizo unapotea sana
 
Umemaliza kila kitu besti...

It depends. . .
Kama nia yake ni kuonja tu lazima aache kujifanyisha akishapata ladha na kutosheka. Lakini kama alikuja kwa nia ya kujenga kambi na mwanamke akampokea vizuri atafanya na zaidi japo mapungufu ya kawaida hayakosekani.
 
mbona unataka kutupeperushia?usiwaamshe walio lala
Kwani hata wakiamshwa wansikiaga haoo..??? Tushawarusha magetini sana tu, na kila akirudi anachezea kichapo kwa eidha baba, mama, au yeyote anayeishi naye, lakini kesho huyooo tena... kama umeme uliokatika unaporudi, hakuna kuzowea... huoooooo....

WANASEMA MWALIMUWAO KIPOFU NA KESHAKUFA. HIVYO DARASA LIMEBAKI BILA TICHA....

Usione akina
lara 1 na mastori yao ya IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE, WOTE WAPO HIVYO HIVYO TU
 
mbona unataka kutupeperushia?usiwaamshe walio lala
Kwani hata wakiamshwa wanasikiaga haoo..??? Tushawarusha magetini sana tu, na kila akirudi anachezea kichapo kwa eidha baba, mama, au yeyote anayeishi naye, lakini kesho huyooo tena... kama umeme uliokatika unaporudi, hakuna kuzowea... huoooooo....

WANASEMA MWALIMUWAO KIPOFU NA KESHAKUFA. HIVYO DARASA LIMEBAKI BILA TICHA....

Usione akina
lara 1 na mastori yao ya IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE, AU akina Heaven on earth na kupenda wazungu, WOTE WAPO HIVYO HIVYO TU
 
Mmmmmmmh! Ninyi endeleeni kututenda wana wa wenzenu, malipo kwa Mungu.
 
Hahahahhahahah nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Haya bwana tumesikia, ndio maana na nyie huwa tunawa-doubble tu, maana ni makauzu, kuliko kauzu lenyewe!
 
Mbona tupo...sema bana na mademu ukiwafanyie hivyo wanakuona -----....lakin tupo sana...
 
Lol!! Eti ''Baby nna hamu ya Burger ya Vitunguu Swaumu''!!! The things men would do for "hazina ya taifa"!!!!
 
Kwani hata wakiamshwa wanasikiaga haoo..??? Tushawarusha magetini sana tu, na kila akirudi anachezea kichapo kwa eidha baba, mama, au yeyote anayeishi naye, lakini kesho huyooo tena... kama umeme uliokatika unaporudi, hakuna kuzowea... huoooooo....

WANASEMA MWALIMUWAO KIPOFU NA KESHAKUFA. HIVYO DARASA LIMEBAKI BILA TICHA....

Usione akina
lara 1 na mastori yao ya IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE, AU akina Heaven on earth na kupenda wazungu, WOTE WAPO HIVYO HIVYO TU

hahaha mkuu umenichekesha sana,mwalimu wao sio kipofu ila huwa hamalizi topic kwa kila mmoja.unakuta huyu ameruka topic za mwanzo,kwa huyu hakumfundisha topic za mwisho,kwa huyu za katikati hakufunzwa yaani bora iwe vurugu tu,yaani ticha wao balaa,cjui nae nani alimfundisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom