Kinadada hii ni kwa ajili yenu!!!

Kinadada hii ni kwa ajili yenu!!!

Kwani hata wakiamshwa wanasikiaga haoo..??? Tushawarusha magetini sana tu, na kila akirudi anachezea kichapo kwa eidha baba, mama, au yeyote anayeishi naye, lakini kesho huyooo tena... kama umeme uliokatika unaporudi, hakuna kuzowea... huoooooo....

WANASEMA MWALIMUWAO KIPOFU NA KESHAKUFA. HIVYO DARASA LIMEBAKI BILA TICHA....

Usione akina
lara 1 na mastori yao ya IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE, AU akina Heaven on earth na kupenda wazungu, WOTE WAPO HIVYO HIVYO TU

Lara 1,Heaven on earth kjluja pande hii, teh teh
 
Wanaume bwana,nilipokuwa kijana mimi nilikuwa natumia silaha ya upole na usmati kukamata wadada.Sasa hivi naona yote ni bure tu kama alivosema mfalme Sulemani maana wanawake wanene, wembamba, vimbaumbau wote wana radha sawa kwa hiyo sioni haja ya kujitaabisha ndiyo maana nimeamua kutulia na mama watoto wangu na nimeridhika nae,yeye hata anitume baga mail elfu kumi ntaenda hata kwa kutumia air force one maana ndiyo anaenijua ndani nje na ndiye nikiugua atanibadilisha nepi.Waliobaki ni wezi tu sihangaiki nao

Usidanganye wana radha sawa.. kwani ya mfalme Suleiman na yako zinafanana???
 
Yale yaleeeeee.,

If you pretend to pay me,i will pretend to work!!!!!
 
547768_593530423993501_842326160_n.jpg
Hakuna Mwanaume Mkarimu tu burebure..Mwanaume mpole kama njiwa..Mwanaume very caring tu from nowhere..Mwanaume anayekusikiliza...Mwanaume anayekutafuta asubuhi hadi jioni kujua hali yako..Mwanaume anayehakikisha unasmile muda wote..Mwanaume anayejali na kukubembeleza ule chakula...Mwanaume anayejua hadi rangi ya chupi unazopenda,loh mashallah...Usicheze na Mwanaume anayewinda Kipochi manyoya kwa ustadi wa kunguru aliyeona kifaranga kinacheza peke yake....Yuko radhi afanye lolote kwa gharama yoyote ilimradi aweze kuchungulia hazina yako ya Taifa..
Muite hata saa 8 usiku mwambie ''Baby nna hamu ya Burger ya Vitunguu Swaumu'',wala hatalalamika,ataifuata hata Chalinze na atakuletea Bunju B..Sasa fanya kosa tu upanue kidooogo tuuu na kumpa tuzo za Grammy's kama Mwanaume bora wa mwaka uone shughuli..Utashangaa yule Mwanaume uliyeamini ni romantic amefariki lini..Hakuna rangi utaacha ona..Burger na Shopping zote zitafia pale Bandari ya Chumbe,Visiwa vya Pemba.
Ni heri ukosee Kutuma Salio la MPESA kwa mtu kuliko kuamini kuna Mwanaume aliye Too Sweet kwako wewe bila Sababu...




Hata nyie mpo after mshiko
So ngoma droo hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom