muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 May 29, 2015 #2 Hizo ngazi zingefuatwa,unyanyasaji usingekuwepo..
Ndetirima JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 1,008 Reaction score 789 May 29, 2015 #3 Na kutokupendana wenyewe kwa wenyewe.
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,580 May 29, 2015 #4 Amavubi said: View attachment 255457 Click to expand... Amavubi wewe ni mwanamke?
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,143 Reaction score 2,547 May 29, 2015 #5 Matola said: Amavubi wewe ni mwanamke? Click to expand... Hata mimi sikulijua hilo.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,947 Reaction score 102,722 May 29, 2015 #6 Saa nyingine hiyo ya kati Career huwa haitokei. Na sio vibaya watu kupenda na kuolewa afu hayo mengine yafate
Saa nyingine hiyo ya kati Career huwa haitokei. Na sio vibaya watu kupenda na kuolewa afu hayo mengine yafate
T Tumaini m Member Joined Apr 28, 2015 Posts 12 Reaction score 0 May 29, 2015 #7 Hizo ngaz inabidi zicrukwe
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 May 29, 2015 #8 Amavubi said: View attachment 255457 Click to expand... poleni sana
Tamalisa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2,542 Reaction score 907 May 29, 2015 #9 Maisha hayana kanuni ....... will depend, bt akili kichwani
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 May 29, 2015 Thread starter #10 muhomakilo jr said: Hizo ngazi zingefuatwa,unyanyasaji usingekuwepo.. Click to expand... kweli kabisa
muhomakilo jr said: Hizo ngazi zingefuatwa,unyanyasaji usingekuwepo.. Click to expand... kweli kabisa
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 May 29, 2015 Thread starter #11 Matola said: Amavubi wewe ni mwanamke? Click to expand... khaaaaaaaaaaaaaa nyie vipi mmetumwa>
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 May 29, 2015 Thread starter #12 Kyenju said: Hata mimi sikulijua hilo. Click to expand... pole sana Kyenju
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 May 29, 2015 Thread starter #13 Tamalisa said: Maisha hayana kanuni ....... will depend, bt akili kichwani Click to expand... nakubaliana na wewe
Tamalisa said: Maisha hayana kanuni ....... will depend, bt akili kichwani Click to expand... nakubaliana na wewe
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,688 May 29, 2015 #14 Inabidi step zibadilishwe lol
Apologise lady JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 5,980 Reaction score 3,115 May 29, 2015 #15 Amavubi said: View attachment 255457 Click to expand... Jamani kumbe wewe ni ke??????? mmmh!!!!!!!!! sikulijua hilo kabisa, kweli jf nisehemu yakukaa kwa taadhali loh!
Amavubi said: View attachment 255457 Click to expand... Jamani kumbe wewe ni ke??????? mmmh!!!!!!!!! sikulijua hilo kabisa, kweli jf nisehemu yakukaa kwa taadhali loh!
libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,474 Reaction score 3,631 May 29, 2015 #16 Amavubi said: khaaaaaaaaaaaaaa nyie vipi mmetumwa> Click to expand... Wametumwa kivp umesema kinacho wakwamisha nyie wanawake.
Amavubi said: khaaaaaaaaaaaaaa nyie vipi mmetumwa> Click to expand... Wametumwa kivp umesema kinacho wakwamisha nyie wanawake.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 May 30, 2015 Thread starter #17 Apologise lady said: Jamani kumbe wewe ni ke??????? mmmh!!!!!!!!! sikulijua hilo kabisa, kweli jf nisehemu yakukaa kwa taadhali loh! Click to expand... sasa umejua?
Apologise lady said: Jamani kumbe wewe ni ke??????? mmmh!!!!!!!!! sikulijua hilo kabisa, kweli jf nisehemu yakukaa kwa taadhali loh! Click to expand... sasa umejua?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 May 30, 2015 Thread starter #18 libeva said: Wametumwa kivp umesema kinacho wakwamisha nyie wanawake. Click to expand... ooooooooooops, shida ...............nilikusudia hawa wanaoshangaa jinsi yangu
libeva said: Wametumwa kivp umesema kinacho wakwamisha nyie wanawake. Click to expand... ooooooooooops, shida ...............nilikusudia hawa wanaoshangaa jinsi yangu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 May 30, 2015 Thread starter #19 gorgeousmimi said: Inabidi step zibadilishwe lol Click to expand... kweli ni kali sana hizi steps
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,580 May 30, 2015 #20 Amavubi said: khaaaaaaaaaaaaaa nyie vipi mmetumwa> Click to expand... Sijatumwa bali nauliza tu wewe ni mwanamke?
Amavubi said: khaaaaaaaaaaaaaa nyie vipi mmetumwa> Click to expand... Sijatumwa bali nauliza tu wewe ni mwanamke?