Kinachoshusha Kiwango cha Huyu Jamaa

Nondo zipi tena wakati uzi ni wa kwako! Waswahili bwana utawatambua kwa matendo yao.
 
Nondo zipi tena wakati uzi ni wa kwako! Waswahili bwana utawatambua kwa matendo yao.
Shughuli li watu shekhe na hili ni jamvi...................ulitaka nianzishe uzi na nichangie mwenyewe mkuu!!!!
 
Si kushuka kiwango, anacheza kwa uangalifu ili asiumie asije akatemwa na West Ham. Si unakumbuka walimwambia arudi bongo kuongeza kimo? Pia si unajua Seattle Sounders wanasubiri msimu wa usajili ufike? Daah, wachezaji wetu, heri Danny Mrwanda aliyeamua kufia Vietnam !!
 
Naskia utaaaaaaaamu! Kitu kimetulia, halafu kinaita. Hongera kijana kwa kula mali safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…