francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 477
- 521
😥😥😥😥😥😥
hatuludishie tu sadaka zetuKaenda kuzi.....mbea
Jamani mwenye hiyo video naomba anitumie PM...sijaiona hadi muda huu
Uzi gani?Unayumba sister.mie nimeitoa humu jf
Hebu nipakue twitter nikifanikiwa nakuleteaUzi gani?
Kuna uzi wa warumi niliuona ila aliweka picha sio video
aisee nimeiona sijui nan tutamwamini kwenye din hizi😥😥😥😥😥😥
Mkuu kama huna connection hapa mjini hufanikiwi Tanzania hii hata hiyo video kuipata inahitaji uwe na connection ndipo tulipofikiaJamani mwenye hiyo video naomba anitumie PM...sijaiona hadi muda huu
Daaah!nimeamini mkuu 😂 😂 😂Mkuu kama huna connection hapa mjini hufanikiwi Tanzania hii hata hiyo video kuipata inahitaji uwe na connection ndipo tulipofikia
Hahahaahahahahah! joanah BhanaJamani mwenye hiyo video naomba anitumie PM...sijaiona hadi muda huu
Watu wachoyo hata mimiJamani mwenye hiyo video naomba anitumie PM...sijaiona hadi muda huu
Haya tafadhali ntumie na mimi basiNimeshatumiwa mkuu...asante sana
Hata wewe unaitaka best??Watu wachoyo hata mimi