Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,920
Ibara ya 43-(2) ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano hairuhusu mshahara na malipo ya raisi kupunguzwa wakati wote atakapokuwa madarakani.
Sehemu ya pili ya Ibara hiyo inasema: “Mshahara na malipo mengineyo yote ya Rais, havitapunguzwa wakati Rais atakapokuwa bado ameshika madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.”
Hii maana yake ni kwamba,kama mshahara wa Raisi unazidi milioni 15 hakuna namna ya kupunguza kulingana na hii katiba.
Magufuli ungekuwa muungwana ungeeleza nia ya kufanya mabadiliko ya katiba kuruhusu mshahara wako na malipo mengine yanayokuhusu yapunguzwe ila uko kimya kama ulivyoshindwa hata kututajia mshahara wako.