Kinachojiri: Kongamano la BAWACHA Ubungo, Dar

Kinachojiri: Kongamano la BAWACHA Ubungo, Dar

Wanapewa mbinu ya kuwatukana Polisi, wazee na viongozi. Hamna kitu humo.
 
Inaogopesha upande wa pili kule kwa kijani, maana akina mama ndo huwa wanpewa vitenge na vilemba kwa wingi
 
Inaogopesha upande wa pili kule kwa kijani, maana akina mama ndo huwa wanpewa vitenge na vilemba kwa wingi

wakina mama wa ubungo huwaambii kitu kwa mbunge machachari wa ubungo.

wengi kati ya hao wanoonekana humo wameikacha CCM ubungo na kuungana na chama cha ukombozi, 2010 walimpigia kura wakiwa CCM kwa kificho, mwaka huu si tu watampigia kura bali wanamtafutia kura za kila mama/mwanamke ili kuifuta kabisa CCM
 
Back
Top Bottom