Joseph Mshinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 232
- 143
Nawaletea LIVE UPDATE za kongamano la BAWACHA JIMBO LA UBUNGO kutoka ukumbi wa LANDMARK HOTEL JIJINI DAR ES SALAAM.
Wakina mama wa Ubungo wanaendelea kuingia.
Huu ni mwanzo tu wa mikakati ya kuhakikisha CHADEMA INASHINDA kata zote na kuweka madiwani wa CHADEMA. Mkakati huu ni mwanzo tu wa mikakati ya kuindoa kabisa CCM katika jiji la DAR ES SALAAM.
Tumedhamiria.
MKUTANO UNAFUNGULIWA KWA SALA NA HAPA NI VIONGOZI
WAKINAMAMA WALIOHUDHURIA KONGAMANO
KIKUNDI CHA MUZIKI G5 (4C M4C) kinatoa burudani kwa sasa wakati wageni rasmi wa kongamano wakisubirwa.
JOHN MNYIKA AKISHANGILIWA NA WANAWAKE WA JIMBO LA UBUNGO.
WANAWAKE WA UBUNGO WAMBEBA JUU JUU MBUNGE WAO KIPENZI na kumrusha rusha kwa furaha.
TUKUTANE OCTOBER. NAPE NA ZITTO HAWAKUKOSEA KULIKIMBIA JIMBO LA UBUNGO MAANA WANAJUA MAJI YA UBUNGO NI MAREFU