Kinachojiri Arumeru sasa hivi

wasira alirema nasary alinyimwa na wazazi wake baraka za kugombea arumeru,baba yake kasimama amejitambulisha kua yeye ni mchungaji na kumsifia mtoto wake nasary kua hakuwahi kufanya ukorofi wowote toka ameanza shule mpaka hapa alipo leo.wasira anapata wapi fake detail za hawa watu?
Wasira ukoma ulishamvuruga ubongo. Ni mtu wa kuhurumiwa tu.
 
Nassari aachane kuzungumzia mambo ya ndoa; tatizo la viongozi wetu siyo kama wameoa au la.

Kwa Arumeru ndoa ni issue sensitive kidogo mkuu. Na kama umefuatilia kwa karibu ni kwamba CCM waliwekeza sana kwenye hiyo hoja - walitaka watu waamini kuwa Nassari ni kiruka njia ndio maana hajaoa! Si umesikia jana Wassira anasema Nassari kaonekana mtaani na mama wa kizungu mwenye umri zaidi ya miaka 60?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom