maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,811
- 2,359
Wadau leo nimekuwa mojawapo kwenye uhakiki ila nimeshangaa sana kwa sababu mwanzoni walisema watumishi wote ila walipofika wale majamaa wakasema wao wataandikisha watu hamsini tu.
Sasa kama ni watu hamsini tu wakati unakuta kata husika ina watumishi 200 au 150 hao wengine wanasema watapanga siku nyiingine mimi nasema serikali inataka kujua ukubwa wa tatizo hili la vyeti feki kabla ya ishu yenyewe.
Je kama mtu katumikia nchi kwa zaidi ya miaka 40 na anategemea kustaafu afukuzwe kazi kweli?
mimi nadhani serikali imeona ifanye utafiti kwanza kujua ukubwa wa matatizo ya vyeti feki
Mimi nimeshindwa kuelewa mantiki ya kusema tutaandikisha watu hamsini tu kama zoezi linahusu watumishi wote.
Karibuni kwa mjadala