Kinachofanyika Uhuru Heights ni sahihi kweli?

Kinachofanyika Uhuru Heights ni sahihi kweli?

babi

Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
79
Reaction score
109
Vyombo vya ulinzi na usalama ni vyema kutumia busara na sheria juu ya hili linaloendelea pale Uhuru Height, nimesikia audio hiyo ya ma baunsa wakipeana taarifa juu ya kufanya Invection katika jengo la Uhuru height. taarifa hii inaelekeza tukio litafanyika jumatano ambayo ni siku ya sikukuu kwa mujibu wa sheria hakuna ofisi ya serikali inafanya kazi sikukuu

Kwa sheria za minada ruhusa ya kufanya mnada ni jumamosi tu na sio siku ya sikukuu. Kufanya sikukuu ni kuvunja sheria na kunamnyima haki ya kusaidika ofisi za serikali mwenye mali iwapo atataka kupata msaada.

Tukio kama hili liliwahi tokea miaka ya nyuma na kusababisha walinzi waliosimamia zoezi hilo kujeruhiwa na wananchi baada ya kuonekana wapo kinyume na sheria. Jeshi la polisi, Mkuu wa Mkoa embu tazama hili suala na lifuate utaratibu kwa kuwa eneo husika ni sehemu ya biashara ya watu na ni makazi pia na jographia yake lipo katikati ya mji. Kufanya invections sio kosa iwapo watafuata utaratibu kosa ni kulazimisha kufanya katika siku ambayo si sahihi kisheria.

Ukisikkliza wahusika wanahitaji ulinzi wa ma baunsa 20 hii inaashiria wanafika eneo hilo kwa shari wakati kama ni invection tu hata watu wawili wanatosha kufanya kazi hiyo kwa maana ipo kisheria.

Hii kubeba ma baunsa 20 ni ili kutishia watu na mali zao ili watumize hilo lengo lao chini ya vitisho ambapo hilo si jambo sahihi linaweza leta mvutano utakaoweza kuleta uvunjwaji wa amani.

Sauti hii tayari imesambaa kwa hiyo hata mmiliki wa jengo hilo anayo taarifa na yeye je akiweka watu kulinda hilo lisitokee kwa maana amejua si sheria kufanya invection siku ya leo jumatano kuwa ni sikukuu?

Ukitazama kwa undani kuna lipo nyuma ya hili kwanini inalazimishwa kufanywa siku ambayo si ya kazi kiserikali? Na nasikia hii ni mara ya pili wanataka kufsnya siku ambayo si ya kazi.

Sent from my SM-G980F using JamiiForums mobile app
 
Definition of invection

: an introduction of something from an outside source

Sijaelewa mada yako.
 
Back
Top Bottom