Mhe. AJAYE
Member
- Dec 20, 2013
- 32
- 6
Pole sana Mhe. LOWASSA kwa harakati zako za kusaka URAIS 2015….! Ndg zangu, juzi nilitembelea Mji wa Dodoma, hakuna asiyefahamu jinsi mji ule ulivyojariwa na kuwa na vyuo vikuu vingi (Eg. UDOM, MIPANGO, ST JOHN na CBE), nilijaribu na nilifanikiwa kufanya mahojiano na baadhi ya wanavyuo toka CBE na UDOM kuhusu mwelekeo wa siasa za Tz na KATIBA MPYA kuelekea 2015.
Mazungumzo yetu yalijikita ktk SIASA na chaguzi za VYUO VIKUU na mchango wake kuelekea 2015, tulijikita hasa vyuo vya UDOM na CBE, CBE walishamalizika uchaguzi na mshindi kupatikana, Chaguzi za UDOM bado zinaendelea, na kwa taarifa za wasemaji wangu, UDOM watapiga kura tar 19 na 20.. Kwa mujibu wa wasemaji wangu, chaguzi za UDOM na CBE zimegubikwa na makundi ya vyama na wanasiasa wasaka URAIS 2015, lipo kundi la Mhe. LOWASSA, Mhe MEMBE na Wale wa mlengwa wa KUSHOTO (CHADEMA) na kwa kiasi kidogo sana akina JANUARY na SITTA wamejaribu kujipenyeza kwenye hizi chaguzi, ila kwa mujibu wa reporters wangu inaonyesha hali ni ngumu sana kwa Ndg LOWASSA, bila kujali PESA nyingi alizowekeza kwa WASAKATONGE walioko vyuoni, kinachoonekana pesa zinapigwa na kambi zake kuendelea kuaguka kila uchao.
Kwa chaguzi za CBE siyo kambi ya Mhe. MEMBE, JANUARY wala LOWASSA hawa wote wamengukia PUA(wameshindwa vibaya na kambi zao), inasemekana Mhe. L alitoa fungu kwa kambi yake ili kusaidia kwny kampeni na ndiyo kambi iliyokuwa na nguvu lkn mwisho wa siku mgombea wake alianguka, Naambiwa kuwa ni kada wa CHADEMA ndiye alifanikiwa kuwa RAIS wa chuo cha CBE, ni dhahiri kuwa UKOMBOZI siyo PESA bali ni SERA safi, sina maana kuwa pesa isitumike kwny chaguzi hizi, maana yangu, kuwa tumieni hela kwa vitu vya msingi na siyo kugawa PESA kwa wapiga KURA ili upate KULA..!
Utamu na Kichekesho kipo UDOM…! Hasa "College ya HUMANITIES and SOCIAL SCIENCES" mchakato wa kumpata rais wa college hii unaonekana kuwa mgumu na waajabu sana, na kwa mujibu wa mtoa taarifa ni kwamba, kunauwezekano wa CCM kutopata hata kada mmoja kwny ngazi za URAIS wa COLLEGES na hata ngazi ya SHIRIKISHO, Ikumbukwe UDOM ina college SITA(6), kinachoenekana ni hakuna hata dalili ya CCM kupitisha hata kada mmoja kwa ngazi ya URAIS, Hii ni kwa kambi zote 3(MEMBE, LOWASSA na hata JANUARY). Kwny college ya CHSS, ni dhahiri kuwa mgombea anayeungwa mkono na wale wa mlengwa wa kushoto ataapishwa kuwa RAIS na kumwangusha aliyeko mlengwa wa kulia (CCM na ni kambi ya mzee), huyu mgombea anayeungwa mkono na CCM siyo tu kwamba ni mwanaCCM bali ni mwana CCM aliyepo kwny kambi ya Mhe. L atashindwa na Kushindwa kwa huyu Bw. M siyo tu kwa sababu ya SERA mbovu alizonazo ambazo zimeshindwa kuwashawishi wanachuo hao, na atashindwa siyo tu kwa sababu ya ujio wa Bw. PHILIPO MWAKIMBINGA(kada wa chadema na X- RAIS 2011 baada kusimamishwa kwa sababu za migomo ya kipindi kile,) na anayemuunga mkono RAIS mtarajiwa, Huyu Bw. M (kada wa L), kwa mujibu wa mahojiano yetu naomba nitoe sababu za kwanini Bw. M atashindwa kwny uchaguzi wa college hiyo CHSS, sababu zifuatazo za msingi:-
1) Atashindwa kwa sababu ya makundi ndani ya CCM tawi la UDOM, yapo makundi matatu (3), lipo kundi la MEMBE, LOWASSA na JANUARY, ktk mchakato wa kumpata mtu wa kumsimamisha mgombe kutoka CCM, palitokea sintofahamu kati ya pande tatu juu ya nani asimamishwe kuwa rais na sintofahamu hii ilitokana na nguvu ya kambia zote 3 na kila kambi ilikuwa na msimo wake na manufaa yake kwa baadae, lkn kwa sababu ya nguvu ya PESA ya kambi L walifanikiwa kupitisha mtu wao na kusababisha kambi mbili zilizobaki kuamua kususia mchakato huo, hii sababu ya kwanza kwa jamaa yangu kuanguka.
2) Pia, Bw. M atashindwa kwa sababua ya Dhuluma na Usaliti, zipo taarifa kuwa wakati wa mchakato wa kugombea, jamaa alienda kwaMhe. L ili kupata nguvu kidogo ya kampeni, Mzee hakuwa na kinyongo alizama mfukoni na kutoa kidogo, but alitoa kwa angalizo Mhe. akamwambia kuwa, "hili fungu nakupa ila siyo lako tu bali kawape na wenzako"(ikumbukwe kuwa makada HAI wa mzee wako wengi kwny TAWI la UDOM, Kilichotokea jamaa hakufikisha mzigo na kuanza kutanua peke yake, mwisho wa siku ndg zake wakapata taarifa juu ya fungu lile, na hivyo wakamua kujiweka pembeni.
3) Sababu nyingine ni Majivuno, matumizia mabaya ya pesa na kauri za jeuri ya pesa za kutoka kwa mzee nayo ni sababu tosha iliyommaliza mshikaji yule, zipo taarifa kutoka kwa mtoa maada kuwa, yule ndg X aliianza kutumia lugha chafu baada ya kuona mfuko umetuna na inasemekana kuwa, peas zilezile ndiyo zimetumika kuwaengue baadhi ya wagomea wa ngazi ya URAIS waliokuwa na nguvu na kupandikiza watu wake ili mwisho wa siku waje wajitoe nay eye apite bila kupingwa! Ndg zangu! Bado nampa pole tena Mzee wangu, na natoa ushauri wa bure, "Mzee jipange upya na uipange upya timu yako" vinginevyo tutafungwa kirahisi sana 2015" na kama itawezekana tumia mfumo wa KOCHA mmoja maarufu Duniani(JOSE MOURINHO) wa kwmba, "kama mpira ni mgumu basi ni vyema UPAKI BASI uwe unapiga Counter attack ndipo tutaweza kupata hata sare"
TUNAHITAJI RAIS MWENYE MAAMUZI MAGUMU na HAKUNA MWINGINE
ZAIDI Mhe..LOWASSA 2015.!