I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,745
- 3,156
Wawapige tu kwa sababu wanawapelekea matatizo na overpopulation isiyokuwa na sabbu.Huwa wanadanganyana(kupeana taarifa za uongo)na huwa wanawafuata masela wenzao wakaendeleze maisha ya hovyohovyo na ugangwe mdebwedo.Na wazulu siyo watu wale.Wanawapiga risasi wajinga kama hao kila leo.
Watz huko huwa wanaishi maisha magumu, maisha ya kushindia mkate siku tatu mfululizo n.k