Hata msingizie vipichadema leo ni kichapotu uhuni wenu tumeuchoka jana yule mama yenu katoa rushwa watu wakamdabua jaribu uhuni huo wa kuhonga watu mtaipata.
Ngoja maumivu yakuingie mkuu hasa kwa yaliyowapata Mwanza jana.... poleni sana kwa aibu ya jana afadhari mmejifunza kitu. Kama mwanza mlikotegemea mambo yamekuwa hivyo je Arusha au Moshi au Musoma itakuwaje !!!!?