Mmeanza sababu ccm kushinda nilazima halafu aliyewaambia kwamba kituo kimoja mnaweka mawakala10 ndo vurugu tunazo zikataa na chopa hazikubaliki kesho,kama mmejipanga vurugu jeshi la police limejipanga sana kukabiliana na vurugu vilivyo na lipo imara.killichofanyika usiku huu:
-Mabalozi wa ccm wamepita kuandikisha watu ambao awana shahada lengo kuna shaada zaidi ya 5000 ambazo ni feki zimetengenezwa CHADEMA tuko makini katika uchaguzi huu kuliko mnavyo zania tumejipanga kuwakamata watu awa kila kituo kina mawakala zaidi ya kumi tukibaini halali yetu na tumejipanga vijiji vyote usiku huu wakuamkia kesho tutakaye mkamata pia anaujumu kitaeleweka hapo
-kuhusu swala la kutumia chopa siku ya uchaguzi mpango uko pale pale kwani jimbo la kalenga ni kubwa sana na mgombea wetu lazima akague vituo vyote 216 pia kuwasambazia chakula mawakala wetu.
Ushindi kesho ni asubuhi na mapema
TULIANZA NA MUNGU TUNAENDELEA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
una bahati ya kuzaliwa Tanzania, Kaguta angeaanza na wewe.Nimemcopy kwa kuwa upo nae, si unaona hata taarifa zake unazitoaMashoga si nyie unauliza maswali wakati jibu unalo! EBooh changu wewe vipi?? Sasa una MCC kigori mwenzako ili iweje?? Matola bado anakuja fadhila za shemeji; siku nyingine cc wanaume waliokamilika kama Chama
una bahati ya kuzaliwa Tanzania, Kaguta angeaanza na wewe.Nimemcopy kwa kuwa upo nae, si unaona hata taarifa zake unazitoa
Kama mmejipanga kwa kila kitu jumapili tusikie mnatoa lawama baada ya matokeo kutangazwa, amkawii kusema tatizo ni daftari la wapiga kura, mara Usalama wa Taifa wameiba kura.killichofanyika usiku huu: