Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Sasa wanaendesha kipindi cha malumbano ya hoja, ninachoona sio malumbano, bali ufafanuzi wa uchaguzi wa Zanzibar kuahirishwa na uhalali wake kikatiba na kisheria.
Nimejiuliza kwanini hakuna mtu mwingine wa kufafanua tofauti na muongeaji ambaye anamtazamo moja tuuu.
ITV hapo naona kama mna hasira, amsaidi jamii mnaumiza jamii zaidi, Amani ni muhimu zaidi acheni wazanzibar waamue hatima yao.
Usiku mwema.