Afu cha kushangaza anaruhusiwa afanye genocide na bado hajashinda licha ya kupewa silaha za kila aina na US, licha ya kusaidiwa na nchi chungu zima bado hawajaweza kuwashinda Hamas.
Hi dunia ni ya majabu sana wanao jidai wanafata human rights wao ndio wanao ufanya ukatili, wanawapa silaha Israel za kila aina, wao ndo wanaipinga mahakama walio iunda ya ICC.
Mungu alisha ahidi Waislam wakisimamia haki zao hakuna atakaye washinda. Masjid Al Aqsa utabaki hapo hapo watake wastake. Wa Palestine watabaki hapo hap watake wasitake.
Na Yemen watamshinda US watake wasitake.